@binaupdates: Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam Albert Chalamila amemsamehe Mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho aliyekamatwa kwa kukaidi agizo la Mabasi yote kuhamia kituo cha Mabasi cha Mbezi Magufuli. Msamaha huo ameutoa Leo Agosti 19, 2026 baada ya kutembelea kituo hicho na kumtaka Mmiliki huyo ahamishie mabasi yake yote Mbezi na afunge Mara moja
Ebu fikilieni watu wanaotoka mbagara chanika na Kigambn
2026-08-19 14:00:11
10
JAY📊📈💸 :
kwahiyo Gari zinazopita bagamoyo ziende bezi ndo zirud tena ubungo
2026-08-19 13:19:34
11
temba :
anavyoongea utafkiri raisi sio unatoa msamaha ayo nimaelekezo unepewa kutoka juu
2026-08-19 12:46:04
27
mushauri wa rais :
kwa nini vijana hamutaki kupigania katiba mpya
2026-08-19 12:34:28
3
Mercedes-Benz Ujerumani :
hii biti mpaka nimemkumbuka jpm
2026-08-19 12:49:50
7
zuhurabuzaragi :
HIVI mmewafikiria wananchi wanaoishi mbali NA MAGUFULI STEND
2026-08-19 12:57:11
4
yeunicemeena :
Ni amri ya serikali ila tuangalie na upande mwingine ahsa mtu unatoka kigamboni hukooo mbali sio ferry mpaka uje ufike ukatafute usafiri tena huko walipoamishia jamani wengine wageni na kuongezeana garama tu maisha enyewe magumu mbona mtu kujitanulia matawi ya kampuni yake ni maendeleo tu ndani ya taifa shida iko wapi🥲💔🙌
2026-08-19 13:06:30
3
simeon john :
ccm oyeeeeee nakupenda rais wangu ajae
2026-08-19 12:29:02
7
Karimu Rashid :
imekaa vibaya tz
2026-08-19 14:32:02
3
Jessy Store🦋❤️ :
Ila TILISHO NI BRAND BAS TU HAMJUI MBON MABAS MENGINE ABOOD HAMSEM BM MENG TU BAS TU BABA WA WATU ALIKOSEA KUJITAMBULISHA KWENY HUU ULIMWEMGU WA WASIONA HAKI ILA UR THE BEST MM NI HR NA HI NI MOJAWAP YA KAZ YAKO SINA KZ BUT KEEP GOING UR THE BEST MANAGER MUNGU AKUTANGULIE
2026-08-19 14:21:53
6
Muod Ally :
mmemzalilisha sana
2026-08-19 14:19:14
4
The code breaker :
Kwani kuna tatizo gani mabasi yakapakia kwenye vituo vyao halafu yakapita na mbezi kuchukua abiria halafu yakaendelea na safari shida iko wapi?
2026-08-19 16:13:25
1
Mercedes-Benz Ujerumani :
uongozi unatakiwa hv
2026-08-19 12:50:14
8
Ufoo1982 :
wakushangilia kama kawaida!!!!!!!!!
2026-08-19 13:14:27
0
MELLAN STORE🛍️ :
😳😳
2026-08-19 14:05:41
2
Malcolm X jrr :
mpeleke mahakamani tuone utamfanya nn
2026-08-19 14:15:03
4
ochu_urimbo :
hii nchi inachekesha kama sio nchi yako
2026-08-19 15:05:06
4
29_mobilestore :
iv Magufuri stand itatosha kwer mana kuna kampun zinatoa mabus shazi kwa wakati mmoja —ile stand itatoboa kwer au kutakua na upotezaji mda na msongamano kua mkubwa sna na vulugu
2026-08-19 13:20:22
3
sam mahela :
hii sauti kama ya magufuli ee
2026-08-19 14:19:15
3
Colin mhema :
mahakaman
2026-08-19 13:35:00
3
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm
homepage.