@come.tv.tanzania: Mabaki ya mtakatifu katika Sanamu la SANTAGATA limetolewa na kurudichwa kwa heshima mbele ya Umati wa watu kama sehemu ya kuenzi na kuutukuza utumishi wake wakati alipokuwa hai!!!!! #somalitiktok #dodomatanzania #kenyantiktok🇰🇪🇰🇪 #bujumbura_burundi #rwandatiktok🇷🇼 #zibabwetiktok #mbeyatikto #burunditiktok🇧🇮 #kampala_uganda #uganda tik tok #southafricatikto #mtwarandiok #nairobitiktokers #daressalaam #diamondplatnum #BUNGENIDODOMA #tamuchungu #mozzarella #kinshasa #congolai

Come Tv Tanzania
Come Tv Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 12:20:28 GMT
72113
1213
167
160

Music

Download

Comments

user749230304553786
idrisa nikiyi :
I PROUD TO BE MUSLIM
2026-08-20 08:37:36
14
son.of.grace3667
son of grace :
actually this is Idol worship
2026-08-20 08:38:21
0
kennedy.mutinda3
Kennedy Mutinda :
this is the holy Roman Catholic 😍
2026-08-20 12:06:27
0
ferafa3boys
BAJ aRa💞Cyut :
I PROUD TO BE MSABATO🙏
2026-08-20 10:41:31
2
hamisamobeto4
Hamisamobeto :
hakika dini ya kweli na haki ni uislam
2026-08-20 09:24:02
16
maryah_nyabogi
⏪MarYAH Nyabogi Nawire⏩ :
Run away from such...
2026-08-20 12:54:20
0
felixmutambi0
STEVEN LIDORO :
Heri nihame catholic kama Hapo ndo tumefikia
2026-08-20 10:49:21
6
www.octupus.com
Octopus :
Ruto one term
2026-08-20 12:58:30
1
ludgeremmanuel
Ludger :
Me ni mkatoliki ila Kwa hili hata kujitetetea nitashindwa nibaki tu kwenye kumkiri Yesu Kristo
2026-08-20 13:00:29
2
user7504408183500
userfrancis :
Catholic uomba patri, maria, rosary na kuinamia sanamu, ndio maana niliacha Catholic.
2026-08-20 06:17:32
5
joseph.manuma1
Joseph Manuma :
mungu alisema yeye si mungu wa wafu tena akasema watakatifu waliopo duniani ao ndio ninaopendezwa nao wala si wafu
2026-08-20 06:21:48
8
immah.bk.king
JAY📊📈💸 :
hii mbn ni mpya kwa kanisa catholic
2026-08-19 13:04:35
4
ma.wawil0
Ma wawil :
mimi ni mkathorik lakinihi kitu sijxawahi kuona au kusikia
2026-08-20 09:24:00
2
neemahimpoliti
neemahimpoliti :
dunia imefikia mwisho
2026-08-20 05:07:38
3
eliahkipuyo
Eliah Kipuyo :
Wakatoliki tulikofikia,Mungu atusaidie
2026-08-20 08:32:52
2
naumu_
Naumu :
@Kirchemaan:Wafu wote amboa ni watakatifu,wanahifadhiwa kwa njia ya heshoma kubea,kwa sababu,mifupa ya watu wa mungu Ina dhamani kiimani,mwenye anaomba mbele yake update anayo ya omba kupitia mwobezi wa huyu mtakatifu. lakini Kuna AI siku hizi,hatuwezi kujua ukweli kwa kuona video tu na kusema ni ukweli. watu wanapigania maiti kwa nini? kwa sababu hiyo ni aliyekuea mpendea wao, kanisa pia inahifadhi wapendea wake ,wale walioishi maisha mayakatifu,na miracles mingi imefanyika,kwa wale wanahiji kwa mahali hao walihifadhiwa,wanapokea majibu ya mambo Yao kwa sababu ya maobezi ya hiyo mtakatifu. Mtu anapataje kuwa declared mtakatifu katika kanisa katoliki? tafuta hiyo process kwa AI. lakini mapaki ya watakatifu ni ya maana sana katika kujenga Imani ya mkristu . soma 2kings 13;21, aliye kufa alipata uai tena wakati mwili wake ulikusa mifupa ya Nabi Elisha. Mambo ya ya katholik inafuata yslio kwa bibilia, mifupa ya watakatifu kama ya Elisha ni ya dhamani. Mt 22;32 kwamba Mungu ni mungu ya walio ai,Abrahamu,Isaac na Jacob, ilhali hao walikuwa wafu kitambo.kwanino Mungu akasema hivyo. Mt 17:1-18. Musa alikuwa amekufa kitambo, lakini hapa Yuko anaonekana na yesu. Rev 7;1-7, in ongea juu ya watakatifu huko mbinguni. wakituomea sisi .hizi ni tifitisho kwamba hao wako karibu na mungu na ata relics Yao ni ya maana relics inaweza kuwa sehemu ya miili Yao au nguo zao na kadhalika, "Baltimore Catechism, question 223, confirms this by teaching: “We do not pray to the crucifix or to the images and relics of the saints, but to the persons they represent.”"
2026-08-20 05:41:45
1
bugade.jr
Bugade Jr :
Mt.Agatha, utuombee
2026-08-20 16:40:54
0
chimej79gmail.com
Pastor Chime :
ibada za wafu, Mungu ni Mungu wa walio hai.
2026-08-20 11:24:43
0
shiroya05
shiroya :
father's wakwanza wapili nawatatu walikuwa.weusi yaani black saints huwa wanakumbukwa?
2026-08-20 10:28:19
0
ombay.new
Ombay New :
Mt Agata utuombee
2026-08-20 10:19:07
2
madame.je1
Madame je ♥️💍 :
iyi nayo Kali ya mwaka
2026-08-20 07:41:39
1
rashidmohamed3
Rashid Mohamed :
Ndio nani uyo
2026-08-20 06:53:33
1
mkristobaraka
mkristobaraka :
Bado hatujaona huu ni mwanzo.Mungu atuepushie na ibada za sanamu
2026-08-20 09:59:24
1
old_newtestament2
SAUTI YA MAWINGUNI :
Nani mtakatifu sasa
2026-08-20 05:34:03
1
To see more videos from user @come.tv.tanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About