@bakesgalore: Huu wali ni mtamu balaa 👌🏾 **Baada ya kutoa vitunguu nilipunguza mafuta nikaacha kidogo sana ndio nimekaangia kuku.. **Zima jiko wakati unalayer chakula chako na ukimaliza washa jiko kwa moto wa chini kabisa.. Je, ungependa kula wali huu na kuku, nyama au samaki? Niambie kwenye comments hapo chini… Usisahau kulike hii post, save na kushare na marafiki. #WaliWaTandoori #MapishiYaLeo #PishiNaMimi #MapishiRahisi ChakulaKitamu FoodieTZ Jikoni