@mo_salaah_planner: Kila kitu kina thamani mara mbili t kabla hujakipataa na baada ya kukipoteza.. Asilimia nyingi ya watu huthamini vitu au watu kabla ya kukipata au kuwapata na pindi anapokuwa amepoteza vitu au watu hao Hii ni mbaya sana kwani mara nyingi mtu hujikutaa mwenye majuto mara t baada ya kupoteza kitu hcho au mtu huyo.. Usikubalii uingie kwenye mtego huo kitu au mtu ambayee ulikua unamthamini hakikishaa unakuwa ni mwenye kuendeleza thamani hyo either kwa kukitunza au kudumisha mawasiliano na heshma kwake kwaniii... Ukisemaa wa nn au cha nn ujue kuna watu wanajitahidi kukipata au kumpata mtu huyo ilaa hawajapata nafasi hyo... MAJUTO NI MJUKUUU... Written by @mo salaah planner we plan| We create| We deliver luxuries.. follow fb| Instagram| Facebook.
Kwanini inakuwa hivo?😥 Nina mwanamke kabla sjamuoa nilikuwa nipo tayari kufanya chochote juu yake lakini kwasasa tumeishi nae miaka miwili na tuna mtoto lakini sina hisia nae kabisa sitamani hata kumuona bila kosa pia hana usunbufu ila sna hisia nae kabisa 😭😭😭 Muda mwingine hata akinisemesha naona kama yaani ni mizgo kumjibu ila najikaza tu namjibu. naweza maliza mwezi sjashiriki nae tendo la ndoa yaani kiufupi sjiskii kuwa nae wala sjali yote nafanya tu kwa kujilazimisha
2026-08-19 22:08:19
1
To see more videos from user @mo_salaah_planner, please go to the Tikwm
homepage.