@amani_dimile:

Amani_dimile
Amani_dimile
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 12:34:46 GMT
37134
4094
176
74

Music

Download

Comments

mr.radha8
Mr radha :
mungu nisamehe mimi na nduguyangu anaye angalia video hii
2026-08-19 17:44:20
26
topin_kid
Tøpîn_⚡💥 :
Wa kwanz bro i appreciate san
2026-08-19 12:40:41
9
juma.mkama
Wonderboy_tz :
Nimekuja kukuelewa mwshon
2026-08-19 12:42:03
24
demmo.actor
DEMMO KINGDOM 🎥 :
ipo hivi👉 mimi nilikuwa moja ya muhanga katika wimbi hili la kutokumuamini MUNGU kabisa kutokana na maombi ya muda mrefu bila majibu,nilikwenda ibada,nikafunga ila sipat majibu, hii ilinipelekea kutokumuamini MUNGU kbs Tena nilipokutana na mawazo mengi kama haya huku ticktock yanayopotosha.Lakini inatakiwa ufaham ya kuwa MUNGU ni halisi kabisa, ni Ili kumfaham huwezi kumjua kwa vitab vya dini, kumjua MUNGU ni personal experience yako mwenyew na MUNGU,Kuna mahali inafika unakataa tamaa kbs,unashindwa kwa akili yako alafu ghafla unapata msaada,we unaweza dhani ni kitu Cha kawaida, kingine ukitaka kumu... experience MUNGU nenda ICU hospital kwa wagonjwa wasioweza hata kuongea alafu MUNGU anamtoa hapo🤔. unapaswa kufaham hakuna kiti kinatokea katika hakuna, it means ukiona gari Ujue Kuna aliyetengeneza so ukionaa Dunia,jua,bahari,ukijiona ww,faham kbs kuna aliyevifanya hivyo, so usije ukathubutu kufikiria kbs hakuna uwepo wa MUNGU unakosea sana😞. ukiona umefikia hapo jua kbs unakaribia kuwa kichaa. kwahiyo usipotoshwe na mtu yeyote,we mwenyew tu kaaa chini tafakar, ingekuwa ni mpango ulioletwa na watu, mbona wazungu wenyewe wanamwomba huyu MUNGU, kama unashuhudia Kuna watu wanalogwa nakuwa vichaa, unashidwaje kuamini uwepo wa MUNGU🤔. GUYS USITHUBUTU KUTILIA SHAKA UWEPO WA MUNGU🤝
2026-08-20 14:30:27
12
cybersmash6
Cybersmash :
kiukweli unazungumza ukweli , nina mashaka na dini hizi , zipo kwaajiri ya kutucontrol
2026-08-19 21:49:26
19
maikojtomas1
user5442830776314 :
hakuna moto wala hakuna mungu hakuna dhambi wala hauna shetani.
2026-08-24 14:09:56
8
kababaye63
KABABAYE :
Kama mtihani huo ulitungwa basi aliyeutunga yupo,nakama yupo basi alitoa maelekezo kuhusu mtihani huo.ila kwakuwa nimfano naomba tuishi hivyo coz wachache watafeli na wachache watafaulu
2026-08-20 06:35:36
7
abbybrowntz
abby brown :
msimamiz kutoonekan ni mtihan pia nao ndo mana akatupa muomgoz wakujibiy mtihan quran.. ili iwez muongoz wa kijibiya mtiahn wake... kaka mamb ya mungu yanafikirisha sana inabid kuwaz na kuchambua ila kuna sehem iman inahusika sana bila imani utakuw unawaz na unakosa jibu la moja kwa moja
2026-08-19 16:43:47
7
bigaporonary
big.aporo :
kaka kama naww umelitambua hili, bas nina furaha kukufollow
2026-08-19 19:02:56
6
princessewillinya
Princess Ewillinya :
HEEEEE kwa mara ya kwanza leo nakutana na mtu anayewaza kama mimi mana kuna watu nikiwaambia wanasema mimi nimechanganyikiwa🤣🤣🤣🤣🤣 YANI MTU ANAKUAMBIA HUNA AKILI KUTOKANA NA UFAHAMU WAKE YEYE NA MASWALI YAKE YEYE AMBAYO MAJIBU ANAYO YEYE 🤣 YANI HUYO ALIYESEMA DUNIA DUARA NI NANI? NA WHY TUNAMUAMINI? YANI WEWE UNANIAMBIA 1 + 1 =2 mimi nakuambia ni 4 unasema mimi sina akili kivipi ??? je kama mimi naona 4 na wewe unaona 2 YANI NANI ANAYEJUA NANI YUPO SAHIHI NANI HAYUPO SAHIHI mfano shule ni mchezo ulianzishwa zamani zamani now unapata wafuasi wengi kutokana na kuzoea mchezo ila hauna faida mchezo huo unamnufaisha aliyeanzisha tuuuu 🤣🤣🤣
2026-08-20 10:20:08
2
salmin.mwinyimvua
Salmin Mwinyimvua :
Mfano Si sahihi. Aliyeutunga huo mtihani ni Mwenyezi Mungu, na kwakila kipindi amewatuma mitume wake waje na maelekezo sahihi ya mtihani huu na wasimamizi wapo viongozi ambao wanaelekeza njia sahihi ya kuujaza huo mtihani kutoka kwa mtunzi. Na bila mtihani huo Dunia isingekalika. Mtihani huu unafanya maisha yawe amani na salama.
2026-08-21 13:34:45
0
aifa.esmaeel
Aifa :
Msimamizi ni mungu chumb cha mtihani ni dunia mtihani ni maisha, muongozo ni Quran muongoza ni mitume, xx we kaa useme hakuna muongozo
2026-08-20 13:55:11
2
majaliwa_electronic
Wizzy__ :
Respect brother 🙏 🙌
2026-08-19 12:53:26
5
collinsrobert93
Morgan Collins :
we jamaaa huwa unawazaga Nini sijui Dah! Kuna mda nikisikilizaga speech zako machozi yananitoka
2026-08-19 20:00:34
1
msigwa.wellnes756280_234
Msigwa Wellness :
acha kupotosha watu kaka
2026-08-21 05:29:11
1
osmars_x
OSMARS X :
Duuuh Tunatamani kujua historia ya kwelii hii iliyopo sasa nazan imeeditiwa😢
2026-08-19 12:50:05
11
lauzii2580
Lauz_J :
Hii inaitwa "hawezi zima moto ukiwa ndani ya nyumba,toka nje nafsi zetu zinahitaji kuwa huru zaidi dini inatudumaza na tunakuwa wadhaifu
2026-08-20 05:28:42
3
abbybrowntz
abby brown :
kaka umeongea kitu cha kifikilika sana na umewaz. vizur bro skupingi. jibu ni hivi... mungu kaumba wanadamu na wanyama na kila kitu katik dunia na kawapa muonhoz wakuish kupitiya quran.. na taratibu zote za kuish kula kulala kuvaaa kutafut vipo katka vitabu vyake... ndo muongoz wa mwanadam.... pia ndo jibu la mtihani wetu.. . nimejib kutokan na mtazam wangu wa kidin coz mamb ya kiming lazma yanahusian na dini..
2026-08-19 16:39:52
9
invalidturning1
Invalid :
Vipi Kuhusu Waliofauru Huo mtihani Bila kumuona Msimamizi
2026-08-31 04:59:47
1
juslin.nyama.mkali
thé muhuni tz♥️ :
huyu jaaa ame chaguliwa kuwa mwenye kiti jmn je mpotayari ??
2026-08-30 19:50:05
2
user2612845183413
sembe the beka. :
Eti mungu kwenye vitabu anasema binadamu ni kiumbe dhaifu alafu eti anatuchoma moto wakati ashasema binadamu ni dhaifu🤣
2026-08-20 17:01:52
1
roadconnect.250
Roadconnect with Danny :
bado najiuliza..
2026-08-19 16:29:08
2
user2242612271065
pappayake mafresher :
turiaminishwa
2026-08-21 16:08:25
1
israel_aloyce
Game Of Life :
mnatuchanganya...
2026-08-19 19:43:21
3
truth.sa.official
truth.sa.official :
Mungu akubariki kak
2026-08-19 16:53:21
4
To see more videos from user @amani_dimile, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About