thats why nowadays niko na memory loss,pombe nimewacha kabisa💪💪💪💪💪
2026-08-25 14:23:32
83
Florence Ndanu🌸 :
Made in Kenya sikunywi tena😭😭 memory loss hangover ya 4days kukula ni shida weuh mtatuuwa😳😳😳
2026-08-25 17:06:03
189
DOC AMOH :
Ndio maana tunakua na memory loss na kulipa bills mara tatu 😭, Asubuhi u can't explain ur mpesa transactions
2026-08-25 16:11:17
509
Rop Justice :
Heha Liquor distillers😁
2026-08-25 15:51:39
6
Wuod Hellena🇰🇪 :
ndio maana siku hizi pombe imenikataa kabisa
2026-08-25 13:33:13
86
𝚒𝚝'𝚜 𝚊𝚕𝚠𝚊𝚢𝚜 𝚋𝚒𝚕𝚕 :
ndo maana nowadays nakua na memory loss na hallucinations bana😌
2026-08-25 20:02:09
4
𝐊𝐢𝐩𝐭𝐨𝐨 :
Raundi hii tutaokoka tupende tusipende😂😂
2026-08-25 18:39:07
74
Lee Nyambu-12 :
ntakuwa nakunywa tusker kama wazee sasa 😁😁😁
2026-08-25 20:00:19
33
By roN :
me Bora nimelewa
2026-08-22 12:58:42
115
Lynn🥰🥰 :
hiii ni kc ginger yangu 😭😭😭😭😭
2026-08-25 20:20:43
11
Eddie Ochung :
uzuri kwa muratina hakuna counterfeit 😂😂😂
2026-08-25 15:34:08
12
beckymmake :
My son ameishiwa na viatu kabisaa,anaenda shule na gumboot na zinamchoma juu ya jua, I have failed as a mom , Mimi hufanya vibarua na saa zingine zinakosekana yenye inapatikanaa inakua tu ya fud, mtu anisave na 150 shs niende soko nimtafutie kiatu ama wenye mko githurai na kiatu no 34 mnibariki nayo ni boy but sitachagua kiatu ni ya gender Gani any nitashukuru🙏🙏🙏
...
2026-08-25 18:56:12
5
samsy(waters) :
guys nkikunywa pombe nasahau hata vitu very basic...mahn😌
2026-08-25 19:30:07
8
Brayo Wiseman :
nashangaa mbona nakunywa 250ml nalewa wiki mzima 😃
2026-08-22 13:37:03
60
Angeline 💙🥀 :
ndio maana nakunywa pombe memory inapotea eh 🤔
2026-08-25 15:35:07
6
MANSION LOUNGE & GRILL BUTERE :
sisi watu wa white cup .. tumekaa kando kabisa
2026-08-25 15:38:25
7
chef alphoh :
thank God I don't do cheap liquor 😅
2026-08-22 13:55:13
17
Ayatta :
These guys should be traced and arrested! This is so bad
2026-08-22 14:58:38
43
To see more videos from user @wuod.pauline1, please go to the Tikwm
homepage.