Mimi nikiwaza kifo dah nakua napata maumivu sana wallah yani haikwepeki ipo cku tu kama nileo au Jana nilio ipita au kesho ila nitapatikana tu dah innalillh kullunafsi zaikatulmaut wainnama tuwaffauna hujurakum yaumulkiyama famanzuhziha aninnar wahuduhilaljannat fakadfaza wamalhayataddunia illa matahulhurur😭😭
2026-08-19 19:41:00
16
Saidi Shembeu :
innalilah wainailaih rajiuun
2026-08-19 15:32:49
5
rajabuabdi779 :
daaah hiyo ajali ya gar au
2026-08-19 14:52:31
5
zuu dreadlocks🥰 :
innalinlahi wainnalinlahi raajim
2026-08-19 20:35:51
1
Ham Stationery :
inalilaah wainailaih lajiun
2026-08-19 15:05:20
1
fatumajuma7194 :
poleni sana😭😭
2026-08-19 15:20:01
1
zaynab :
daah polen sana jmn mungu awalaze mahali pema peponi
2026-08-19 19:21:18
2
Naima Mahela :
allah awape kauli sabit
2026-08-19 15:11:59
1
fatma :
daaah
2026-08-19 15:05:37
1
Mwajuma Malosa :
Allah Akbar
2026-08-19 22:35:44
3
shufaa cute💃 :
kikubwa kuwaombea dua to
2026-08-19 14:22:24
3
To see more videos from user @naasiry.khalidy, please go to the Tikwm
homepage.