@pika.na.mimi: 🥥✨ Vishet vya nazi—vitamu, laini na vyenye harufu tamu ya nazi! 😋❤️ #VishetVyaNazi #PikaNaMimi #Mapishi #MapishiYaNazi #TanzaniaFood

pika na mimi
pika na mimi
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 13:06:47 GMT
370048
17798
125
1027

Music

Download

Comments

irene.honey.66
Thuwaiba🎀❤🎀 :
vyangu mm vilitoka vishetani
2026-09-28 17:31:28
17
maya.akira0
Maya Akira :
what is hamisa
2026-08-26 19:28:46
1
sandraadonis1
Sandra Adonis26 :
😁😁
2026-08-22 06:39:05
21
mishypekee
❤️🌹 Mishy Pekee 🌹❤️ :
Et hapo kwenye kupka shila icho kikombe cha sukani umeweka ujazo sawa kwa sawa
2026-08-20 11:54:42
20
annie26032
Ms..Annie :
Jamn mm Mbona vyangu haviwi na io nyeupe mwishoni au nazidisha maji kwenye sukari
2026-08-19 19:37:03
6
reydhan234
Reydhan234 :
Hyo nazi umeweka Na chicha zake dear?
2026-08-25 10:05:03
7
jbaby2223
official lastborn♋♋ :
Acha tuu nikufollow maana uwiiii💞💞
2026-10-04 12:47:19
1
lovekimario0
Hairbyloveness🌸 :
Pale mwishoni wakati unavimimina unavipeta kwenye sukari ulizima jiko?
2026-08-20 11:20:49
4
user9951345313015
my.me👣🫂 :
ivi naweza.kutumia sukali.ya.kawaida.hii.au.naomba.mniambie.jmn
2026-08-30 12:17:35
2
hafsaally22
Hasu stylish and luxury :
Bwana siku ya kwanza kuvipika vilikua vizuri tu kwenye kuumuka kuiva apo kweny sukari sikuweka maji bwana viliungua
2026-08-23 13:10:11
5
mwanzasandals0
Ukerewe sandals :
maneno haya ya naniii----
2026-08-21 15:32:27
0
deborahamisi426
debora hamisi426 :
jaman naomba mnijibu hvi ni kweli nikipika bites yeyote yenye hamira ni lazima niweke kwenye mwanga wa jua ili viumuke ?
2026-09-03 12:30:44
0
deegee7651
Doreen kuva💖 :
mko Na time
2026-09-22 09:10:17
0
lauryn.shayo
Lauryn Shayo :
Uwii na pepsi nyieee 🙌
2026-08-24 14:22:08
1
kamamaa577
kamamaa🥀 :
Hapo kwenye shira ndo huwa naharib😂
2026-09-24 07:10:08
1
woya7661
A@woyaa🫂❤️ :
mi nikipikaga visheti huwa vinatokeaga vishetani mwenzenu😆
2026-09-02 10:31:25
1
ms.flavour7
Ms Flavour🦋 :
vzur ila mie vnanishnda kisa sukarii😅
2026-08-20 12:38:31
1
zuhura.juma42
Zuhura Juma :
kwa biashala si Vinafaa
2026-08-22 08:40:32
2
mwanasanahonga1
Miss nahonga🎀 :
Maneno yangu mm naambiwa😁😁
2026-08-22 15:38:33
1
user8318061352048
Selina salum :
vitu yenye sukali nying sio vitu vyangu kabisa
2026-09-25 07:23:38
0
mariyam.seifu
damamu :
nimevimis atari
2026-09-27 16:30:09
0
rasmburu
Rasmburu :
Good explanation & great chef 💯
2026-10-08 15:43:37
0
rachel56542
rachel😍❤️ :
jmn vi nanenane nimevimic atali🥰🥰🥰
2026-09-26 11:46:18
0
mimmahray4
Raycon... :
nyimbo ndio inanipa motisha jamni sasa ikikata ndio manini?
2026-09-25 09:32:43
0
layalycake1
layalycake1 :
visheti vishetaniiii🥰🥰
2026-08-19 13:21:08
1
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About