tvii kama hii nahitaj, ila chakula sitaweka juu ya tv😂😂
2026-08-19 23:27:13
8
official jayfox☑️ :
anabisha alikuwepo?
2026-08-20 04:12:53
8
☆𝗖𝗿𝗶𝘀𝘀 𝗔𝗲☆ :
mungu wanatak tucheke wenyewe 😂
2026-08-20 05:47:38
12
RYOBA TZ BOY 🏆 :
Ata twet ipo
2026-08-19 15:49:07
5
Matthew 6:14-15 :
Hii imenikumbusha zamani kidogo nikiwa la drs la tatu nakumbuka Rambo aliwahi kutoka nje ya sreen kwani nani alibaki watu walikimbia ukumbi nzima akabaki mtangazaji wa filam toto tundu alinigwa na Rambo acha sitosahau kamwe🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭
2026-08-20 06:34:41
16
Mc 💥Creator :
hahahha jaman inachekezha sema watu ni wanafiki wa kucomment na kulike
2026-08-19 15:45:57
6
skh bera :
aka jaman 🤣🤣🤣🤣dah ila watu
2026-08-20 12:36:07
2
ABDOULY🇫🇷🇹🇿 LE PROF DE FLE :
Hii nchi kuna mahali imetoboka sio bure🫢🫢
2026-08-20 09:26:20
7
Rob£rts :
TV sumbawanga 😁kama huamini gonga like 👍🏾
2026-08-20 10:00:22
6
Alfan Rajabu :
hahahahaha😁😁😁
2026-08-20 07:41:34
1
linda :
utacheka kama sio ndugu zako😂
2026-08-20 09:58:39
2
Novetha Mathew :
nmeipenda hy tv
2026-08-20 09:27:12
2
Mooh classic :
Oyaa weeeeee😂😂😂😂😂😂
2026-08-20 07:15:44
3
Mr_KB🌍 :
😂😂hii tv inafaa tanzania
2026-08-20 09:38:13
2
To see more videos from user @goro.wa.katoro, please go to the Tikwm
homepage.