@suleiman.magoa: Replying to @masoudali80 usije kupanga nyumba aina hizi kamwe katika maisha yako #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryou #tiktok #viral
hii video imenikuta usiku na simjui mwenye nyumba vizuri😳🥺
2026-08-19 21:23:07
15
mamu :
me nakuona kilasiku sibonyez
2026-08-19 19:20:55
16
vee classic 💋 :
nasubiri hizo dalili maana mwenye nyumba kaninunia bila sababu hataki hata kuniona kosa silijui
2026-08-20 13:03:53
5
rose mother's child 1575 :
unanichelewesha wahi natak nitume kod
2026-08-19 23:19:19
6
chris daudi :
mzee baba nielekeze ile kinga vunja chuku mandarizi niaje
2026-08-19 14:13:18
9
ICE Girl :
UNISISHAULI UTANICHANGANYA
2026-08-19 23:37:50
5
Abu kerio :
asante.
2026-08-19 16:22:06
1
ukht mennah🌹🥀🌺 :
ndy nnayo ishi me Kwa sasa
2026-08-19 14:46:20
8
ma naah :
jee ukipanga nyumba ya mganga nae
2026-08-19 18:28:43
5
officialtinna :
hakuna nyumba ya kupanga isiyokuwa na changamoto kila nyumba inamatati cha msingi ni dua t
2026-08-20 21:00:32
0
Bery Master :
uhakika
2026-08-20 13:15:23
2
sami :
mm nisaidie tok nilipo olewa cjawahi kua na ham ya tendo la ndoa nishatumia dawa sana lkn bad nip vle vle
2026-08-19 19:13:52
5
💞💞mrs Michael ♥️🫀 :
me jamn napoteza ela kila nikiweka nikitoka tyuuuu ndan skuti ela
2026-08-20 05:29:27
1
fransis jr :
kweli kaka hayo yamenipata nimejaribu kuhama nikashindwa zaid ya miaka 3 imebidi nikaacha vitu vyangu vyote nikaondoka saiv nipo mtaani tuu kila litakapokuwepo gari langu na mm nipo
2026-08-20 13:21:24
2
👑 :
asantee kaka
2026-08-20 10:23:23
1
Rahma Yohana :
mmh mm ndo ninayo yapitia mdahuu🙏🙏
2026-08-20 14:36:29
2
Habiba Kidoti :
asant kaka
2026-08-19 20:30:31
3
user92903063020 :
mbn mie uniambii daw jamn kakaa
2026-08-19 21:54:35
3
mwamgeniabdallah6 :
sheikh mbona nkkaa naskia maskio yang yanapga kelele hii ni nn
2026-08-20 11:06:49
2
Elon musk :
ongeza haraka
2026-08-20 00:03:28
2
To see more videos from user @suleiman.magoa, please go to the Tikwm
homepage.