@tjmakuhana: Nini maana ya Zaka - Zaka ni fungu la kumi la pato lako. - Zaka ni fungu la kumi la pato toka mshahara wako ofisini, shambani au kwenye mifugo. Tena zaka hii ni ya Bwana na ni Takatifu. Kumbukumbu la Torati 14:28-29, Walawi 27:30 –32 Watu wengi tumekua wezi kwenye kutii juu ya agizo la kutoa fungu la kumi/zaka Tukisoma katika malaki 3:8 neno la Mungu linasema, Je, mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia ZAKA na DHABIHU” Tusichojua ni kua kunajisababishia laana kwani wizi ni dhambi na ndo mana ukikamwata unaiba basi lazima sheria ifate mkondo wake. ….. Mmeniibia Zaka na Dhabihu. Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote (Malaki 3:8, 9). Lakini Malaki 3:10 anasema; “Leteni zaka KAMILI ….” Maana yake nini maneno haya? Maana yake ni hii; ikiwa kwa mfano mshahara wako kwa mwezi ni shilingi 2,000/= ( kabla ya makato) – fungu la kumi au zaka unayotakiwa kutoa ni shilingi 200/= ambayo ndiyo zaka kamili ya mshahara wako. Ukileta pungufu yake hiyo si zaka kamili. Tena kwa mfano umevuna magunia 10 ya mahindi toka shambani mwako – zaka kamili unayotakiwa kutoa ni gunia moja bila kupungua. Kumbuka mzaliwa wa kwanza wa mifugo yako ni wa Bwana. Unaweza ukasema habari za kutoa zaka ni za agano la kale na siyo za agano jipya. Waebrania 7:5-10 inatuambia wazi ya kuwa Ibrahimu alitoa fungu la kumi. Kama Ibrahimu alitoa sehemu ya kumi, Je! si zaidi sana kwetu sisi tulio uzao wake kwa imani ndani yake Kristo? Maana imeandikwa hivi; “Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu na warithi sawasawa na ahadi” (Wagalitia 3:29), Wagalitia 3:13,14). Umuhimu wa Kutoa Zaka 1. Inaweka ulinzi Malaki 3:10–11 “...nitamkemea yeye alaye kwa ajili yenu, wala hataharibu mazao ya nchi yenu...” 2. Chanzo cha baraka Malaki 3:10 — “...mkijaribu kwa njia hiyo... kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha.” 3. Kumuheshimu Mungu Mithali 3:9–10 — “Mheshimu BWANA kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote 4. Kumtegemea Mungu Mathayo 6:33 — “Bali utafuteni kwanza ufalme wa Mungu, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.” Kwa nini watu wengi hawaoni matokeo ya utoaji wa zaka? 1. kutoa zaka pungufu 2. kutoa kwa nia ovu 3. kusubiri kukumbushwa wajibu wao 4. wengi hutafuta sifa badala ya baraka 5. kutoa zaka isiyo halali (njia iliyotumika kupata zaka si halali machoni pa Mungu. Je umekua mwaminifu kiasi gani kwenye swala la zaka? Usisahau kulike, kusave na kushirikisha wengine ili wajifunze zaidi. #zaka #christiantiktok #tanzaniatiktok #fyp

Theresia Makuhana
Theresia Makuhana
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 13:44:00 GMT
14007
236
2
38

Music

Download

Comments

anneh.gal4
anneh gal :
Ameen
2026-09-03 12:56:35
1
purity8625
Covenant👸 :
😅😅😅
2026-08-26 07:05:53
0
To see more videos from user @tjmakuhana, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

The UK just made moving abroad WAY easier — and no one’s talking about it. 🇬🇧✨ Meet the UK Scale-Up Visa 🚀 — arguably the most flexible skilled work visa the UK has ever launched. Here’s why it slaps: 🔓 Employer sponsorship is only required for the FIRST 6 MONTHS 🎯 After that, you’re FREE — switch jobs, freelance, start a business, work for anyone 🏡 Path to ILR (Permanent Residency) in just 5 years 🇬🇧 Path to British citizenship in 6 years 👨‍👩‍👧 Bring your spouse & kids on dependant visas 📚 Full access to NHS, schools & UK life No employer lock-in. No visa panic every 3 years. No renewals tied to a boss. Just work, live, and build the life you want. ✨ 🔍 How to find roles: 1️⃣ Find sponsors — head to the UK Home Office Register of Licensed Sponsors and filter by companies with “Scale-Up” sponsorship (fast-growing UK businesses with 20%+ annual growth over 3 years) 2️⃣ Shortlist relevant roles — check the company’s careers page + LinkedIn for open positions matching your skills (usually tech, engineering, finance, science, healthcare) 3️⃣ Apply directly — target companies with clear scale-up sponsor status, tailor your CV, and mention your visa eligibility upfront Big-name Scale-Up sponsors include Revolut, Monzo, Deliveroo, Cazoo, Starling Bank, Improbable + hundreds more. 💼 If the UK was ever on your list, this is your window. 🪟 Follow for more global pathways no one’s talking about. 🌏 ⚠️ Application doesn’t guarantee approval or a final placement — competitive and selective process followed by final decision from relevant authorities.

About