@swahililanguagehiphop: #100k #old #100k #old

Hiphop Lyrics
Hiphop Lyrics
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 13:56:05 GMT
57705
3948
66
108

Music

Download

Comments

user3260188108435
saadamosh :
yaaan kuna ulazima wa fiesta miaka 30 bongo flava yafanyike nchi nzima hadi raha
2026-08-20 12:23:34
13
kimpaul74
Kim De Don :
Old is Gold
2026-08-19 16:05:05
2
nurah290
Nurah290 :
nitoke vipi 🥰🥰🥰
2026-08-20 05:06:07
1
hellen10jo
DoryHellen :
zamani wasanii walikua n ushirikiano sana ila saiz msanii akiimbwa kwenye nyimbo ya mwenzie anataka alipwe
2026-08-21 08:10:13
5
careen291
rama gama :
ngoma ilikuwa noma sana japo afande sele alimpiga dongo kuwa anatajataja majina nyimbo mzm ila ilikuwa kali sana
2026-08-21 06:39:23
2
ebinyonyibatakanwa
Ebinyonyi Batakanwa :
baba sisi tisin tunaherewa sana
2026-08-20 18:58:08
1
junior_mwendwa
Junior_mwendwa :
Nostalgic 🇰🇪
2026-08-20 16:04:23
1
neyma1246
neyma :
jamani ngomazaza manikali sana badozinaishi
2026-08-20 10:41:18
0
wastarahuka
Jemima :
🔥🔥🔥 Tuliinjoi sana kitambo hicho
2026-08-20 22:46:24
0
negstore_
Negstore :
Bwana misosi✅
2026-08-20 13:38:53
0
anethnyagali
user7665983880258 :
da! mangoma ya maana kabisa enzi izo
2026-08-20 09:43:55
0
layalycake1
layalycake1 :
Ah jmn long time kitambooo
2026-08-20 05:54:20
0
imeldanhanda
Imelda the best :
na staili zetu watu wa millenium🤣🤣
2026-08-20 23:58:21
0
msafiri.deus2
De :
Ahsnte saaana kwa hii kumbukumbu... naomba tuletee na handsome ya dully sykes 🙏
2026-08-20 13:02:47
0
wilsonkabula
Wilson Kabula :
😁😁 nakubari saana hizo ndio ngoma zinazo tusisi mua kipindi hiko,
2026-08-20 07:24:01
1
hamiomtamike
Hamio Mtamike :
yimbo moja pekee iliyoimbwa na wasanii wengi wametokea kiroho safi sio miaka ya sasa
2026-08-21 06:32:51
0
user3260188108435
saadamosh :
🥰🥰🥰🥰woyooooo
2026-08-20 12:13:49
1
evodear19
evvy64 :
hit song
2026-08-20 21:32:45
0
happycampbell2
Happy Campbell :
😂😂😂😂I miss our old days
2026-08-20 19:57:18
0
bondage025
BONDAGE :
Hii ngoma pia ilitumika kwa wimbo mwingine nimeusahau jina... Nadhan dullyskyes mipango yote anafanya Mwenyezi nimechezea bahati
2026-08-22 08:04:07
0
najmanyota5
star✨ :
Mamkubwa mjomba wangu, hizi ndizi zilikuwa playlist zake
2026-08-23 19:20:54
0
mwakita5
Issa :
nyimbo yangu pendwa mda wote🥰
2026-08-21 20:14:54
0
mutambuka.iddy
mutambuka Iddy :
2026-08-20 09:01:23
0
To see more videos from user @swahililanguagehiphop, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About