@wangsooo.quotes: #creatorsearchinsights watu mna loho ngumu sana mnge chelewa kidogo ilikua imeenda tena sms ya pili inaingia nipo kwa wakala tena nilikua naingiza code๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿซต๐Ÿซต๐Ÿ›Œ๐Ÿ›Œ๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ’ฐ๐Ÿ’ฐ๐Ÿ’ฐ

'
'
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 14:01:49 GMT
64338
2205
212
130

Music

Download

Comments

user6569562276204
Pole dear :
19 which? 19 who?
2026-09-06 13:55:01
0
farida97406
farida :
Ndio mana unaambiwa kaa karibu na simu
2026-09-05 07:52:18
22
aisha_cute.10
Aisha cute :
mmmmmmmmhh.
2026-09-05 16:24:35
0
user5755086158446
finest :
ndo maan mm kwenye lain ina deni hela iikiingia tu automatic ikatwe kwanza ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
2026-09-04 10:30:13
32
familyfurniture5
MFALANYAKI FURNITURE :
mna uwakika mapenzi yanauma
2026-09-05 18:26:27
7
mtech_fix.tz
MSUKUMA TECH :
2,500,00019.ndio shingp
2026-09-04 19:52:25
6
lovenessaloyze
Loveness Aloyze :
kinacho kuliza
2026-09-04 21:27:58
3
ester.simon.balal
mom p :
me sichezagi mbali na cm jaman juzi nilikuwa Nina elfu 6000 tu kwenye cm ndo nkawa nawaza nkatoe lakin nkawa najivutavuta sana mala nkaona muamala umeingia kuangalia ni 11000 harafu ckumuonba hat mtu nkaenda kutoa nikaitumia yote lisaa limoja baadae napigiwa cm ety niiludishe hela alikosea kutuma ,mm ckukataa nilikubali nmeiona ndy na nmeshaitumia tayali kwahy CNA hata mia hapa
2026-09-05 20:18:15
1
daudi78274
daudi :
pambana kaka utapata yako mwenyewe duuuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-19 21:29:39
11
mcswallomobile8
swallo mobile :
๐Ÿ˜‚mimi ningemtumia Ata mama
2026-09-04 21:30:33
1
aishamajidi179
Aisha Majidi :
what is 19???
2026-09-06 11:54:17
0
nathan......boy
Nathanael :
yaan me ikiingia tu nishahamisha dakika iyo
2026-09-05 07:15:16
3
lameck_2005
lameck jj :
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ndo maana mimi huwa sichezi mbali na xmu yangu hata kama ipo chaji lazmw niwepo na kila msg ikiingia lazma niikague usikute huyu cm hakuwa nayo hadi muamala ukarudishwaaa ndo akakuta hzo msg tuuu daaaah inauma sanaaa!
2026-08-20 06:08:17
11
cyclopentane10
C5H10 :
@C5H10:ndo maana kilasiku nawaambia simu zenu ziwe mkononi na ziwe na chaji muda wote hamtaki kunielewa ona sasa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
2026-09-04 15:04:05
5
lulu.nicholaus
Lulu nicholaus :
utajir unakuja na kupotea mbele ya macho yako ๐Ÿ˜… ni huzun
2026-08-30 16:44:05
3
safnat93
safnat๐Ÿ’” :
Duh
2026-08-19 16:24:07
4
pjmaster23
pjmaster23@ :
Dah!!!
2026-09-02 18:25:07
1
asimwedeus1
Asimwe deus :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-27 07:31:15
1
kahilukassimu
mujahideen 01 kahiru :
hilo Salio ni uongo, baada ya muamala kuingia
2026-08-20 06:56:17
2
petromathew812
Petro Mathew :
namm nauludisha
2026-09-04 19:45:33
2
0639419511use
Jennifer :
ningelia siku mzima mungu nimekukosea nn๐Ÿคฃโ˜บ๏ธ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2026-09-05 10:11:43
1
theresiashija11
teddybear๐Ÿ’ซ :
my situation ryt nuw with nmb๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-04 10:29:51
1
rbc6649
rbc :
kwan kwa maneno unaisomaje msinifokee jaman cijui
2026-09-05 16:30:02
1
rajabtengesha
R msomal :
ungekuwa unadaiwa na songesha hapo wangekata yao itakayobaki ni ya kwako, tujitahd kukopa mitandao ili bahat kama hiz zsitupte
2026-09-05 16:04:53
1
To see more videos from user @wangsooo.quotes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About