@prosper.william: 💥💯Ulishawahi kukutana na hali ya timu yako kufungwa alafu ukatamani iendelee kufungwa yani burudani ikawa sio tena mpira ukatamani mambo yanayoendelea kibanda umiza? 💥HEBU CHEKI HII 💚FIKIA MAMILIONI YA WAPENDA MICHEZO NDANI NA NJE YA TANZANIA KWA KUTANGAZA BIASHARA YAKO NASI;☎️+255 777 77 29 74
Yanga School of soccer. gp
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 14:09:32 GMT
Music
Download
Comments
Adam mpemba :
wake zetu wakiiona hii ruhusa yakutoka kwenda kuangalia mpira tutaipata kweli
2026-08-21 04:54:12
16
Ndina_vee🌸 :
na hakuna alosema anazibwa 😂😂
2026-08-20 21:35:52
21
Wizz¥~master :
kwa mambo haya acha tu ifungwe kwani mi kocha
2026-08-20 19:04:40
12
Young Dully :
acha simba ifungwe tu mi ni nani nikatae utamu huu😂
2026-08-20 13:30:11
11
minah lee🌟 :
Camera man hatuna deni na ww😁
2026-08-20 18:36:42
8
Dee $∆nity :
Acha tu tufungwe
2026-08-20 16:23:16
7
ashlly417 :
mm nd uyo dog apo nilotok mbele nkaja nyum kumuangalia vzr uyo dada😆😆😆
2026-08-21 05:17:40
2
fii :
😂😂😂😂😂kuna comment naitafuta humu
2026-08-21 06:42:09
0
Ashneyla :
Ilahii yanga itatufikisha mahali pabaya😁💚💚💚💚💚💚
2026-08-21 06:42:14
1
breezy :
jaman location na mm nikuje kuangalia mpila uko
2026-08-20 19:09:24
3
pacom :
kabanda umiza hako kanapatkana wp 2elekezane jaman
2026-08-21 08:30:07
1
braytonnorobeth1 :
Hapa kuna kukatazwa nisiende ukumbini kuangalia mpira
2026-08-21 06:57:22
1
Naslady baby 😘🌹 :
asante cameraman umetupambaniaa😅😅😅😅
2026-08-20 17:51:05
4
alwayswise🧠 :
Oyaaa hii ifute bhana! Utatufanya tuwe tunakatazwa kwenda banda umiza😂😂😂
2026-08-21 07:15:11
1
Mychadury😘 :
wanacheza tena lini😂😂
2026-08-20 18:39:12
2
Fatmah❤️🦋 :
Mana nacheka kama mazuri 😂😂😂
2026-08-21 06:12:07
1
princess YANGA 🥰 :
😳😳😳😳😳😳😂😂😂😂😂😂😂 sasa huyu ndo furaha zote hizo jamaaani duuuuh😂😂😂😂😂
2026-08-19 20:41:33
1
Christina Patrice :
nini tena
2026-08-19 15:06:01
0
Machine :
lazima niende kibanda umiza 🤣🤣🤣nyumbani vibe hamna 🤣🤣🤣
2026-08-20 21:44:09
0
hauled de braxbah :
heee!
2026-08-21 10:03:17
0
🦋Rockbaby sisGG🦋 :
Anafurahisha kama sio shangazi yako😢🥹🤌🏽ila Shangazi mwaju jmn.... 😅
2026-08-21 07:52:30
0
chid :
INNALILLAH WAINNA ILAIHRAAJIUN
2026-08-21 07:49:17
0
user1000240816270 :
kwakweri 😂😂😂😂😂
2026-08-21 07:00:04
1
miss de kimwanya :
2026-08-20 19:10:09
0
To see more videos from user @prosper.william, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.