@trtafrikasw: Rais Donald Trump wa Marekani amechapisha picha kwenye mtandao wake wa Truth Social na kuliita eneo la Mlango-Bahari wa Hormuz “Ardhi mpya ya Marekani.” Trump amekuwa akisisitiza mara kwa mara kwamba Marekani sasa inadhibiti Mlango Bahari wa Hormuz. Je, unadhani Marekani inaweza kuchukua eneo hilo?