@dr.tungu: ACID REFLUX INAKUSUMBUA? USIISHIE KUMEZA DAWA BILA KUJUA CHANZO! Acid reflux (asidi kupanda) inaweza kukusababishia kuungua kifuani, kiungulia, ladha chungu mdomoni, kujisikia chakula kinarudi juu au usumbufu baada ya kula. ⚠️ Kama dalili zinajirudia mara kwa mara, usizipuuze. Angalia ulaji na mtindo wa maisha, na tafuta ushauri wa mtaalamu wa afya ikiwa zinaendelea. 💬 Comment “ASIDI” nikutumie elimu zaidi kuhusu acid reflux. #acidreflux #fy #afyayatumbo #afya #tunguwellness

Tungu Wellness 🩺
Tungu Wellness 🩺
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 14:46:51 GMT
383
4
1
2

Music

Download

Comments

f399106
Mom girls :
asid ukipata dawa sahihi unapona wallah siamin mm
2026-08-20 11:26:17
1
To see more videos from user @dr.tungu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About