nakaa na mtoto wa kaka yangu,,akiwa anaongea alafu uongee juu yake anakuambia aunty ushiongee😂 na ukizidi anasusa haongei tena🤣 he is only 3
2026-08-20 09:56:49
41
🦋GloriciousTee🦋 :
Haya wangu nikifoka ananifata ananambia sikioni punguza sauti makelele unanichanganya😂😂😂
2026-08-20 10:35:37
37
Complex_Jackal :
Sjaimaliza hii video ila najua umeongea point
2026-08-20 02:24:46
14
samking :
kuhusu malezi ni uongo
2026-09-16 08:08:57
0
doravalerian :
ujumbe umekuja kwangu wakati sahihi
2026-08-20 01:03:18
28
cutenaa :
me mwanangu hata uki play video's TikTok au Instagram akiwa akaribu anakwambia mama please punguza sauti😂😂 hata ni kwenye TV yaan hataki kelele na Yuko 6 year's
2026-08-20 09:21:03
21
💲💎$TËV£💎💲 :
aisee mama yangu kanikosea pakubwa Sanaa 😁😂
2026-08-22 10:31:25
2
Shakira 🤩 :
Kuna siku mwanangu alifanya kosa ikabidi nimseme na nimwambie baba yake basi kumbe nilivyo mwambia baba yake wakaongea wao mi sikuwepo sasa nikajua baba yake hajamwambia basi bwana kesho yake tupo wote 3 nikalianzisha tena akanambia mama we ulisha Sema sasa unaongea ongea nini baba alishaongea nami😅😅😅😅 yooo ana miaka 5 nature ya mwanangu ni mpole sio wale watundu watundu jamani nilikaa kimya nikashangaa mnoo ikabidi nimuulize baba yake akanambia ndio nimeshaongea nae jana usiku😆😆
2026-08-20 13:21:19
6
van :
nimeangalia tu nkajua utaingea point😁
2026-08-20 05:28:34
5
edigamatela3 :
nina tamani kuwa na mke kama wewe
2026-08-20 09:13:25
6
CEO Linnah💎 ♥️ :
Ubarikiwe♥️🫶
2026-08-21 07:37:31
1
amumafterGodsheart :
mara ya Kwanza kukuona Na message imenigusa sana 👏
2026-08-20 09:35:48
5
MamyGiraffe 🦒 :
hapa umesema kitu mwanangu ana 2yrs huwa napiga makelele kama chiz ila nikisema acha mwanangu kwa sauti ya chini ndo anaacha kudadeki 🤣🤣🙌
2026-08-20 14:00:33
9
niko ambae niko :
asnte mama mwema
2026-08-21 00:41:25
1
JOYVIANA LEMA :
Mi Mwanangu wa kiume akisikia kelele anaondoka Kbsa na anakwambia unanipiga kelele sikuelewi na hapendi kelele kbsa na ni mdgo jmn
2026-09-06 18:29:22
1
kal :
ushawahi kutana na mwanaume anaongea kuliko mwanamke!?
2026-08-21 07:07:48
3
Joyce Mmary :
wangu anamiaka 4 , ukifoka anakuziba mdomo, alafu anakwambia mama usiongee kwa nguvu ni tabia ya shetan😂
2026-08-24 12:39:51
1
neydamian :
as mama boys najifunza
2026-08-20 10:08:08
4
Graced Girl 🌸🤍 :
🥹 Asante🙌🏻
2026-08-20 10:39:30
0
kimdyner :
daah sina mtoto ila umeongea point sana
2026-08-21 07:12:56
1
Deborah MN :
Mwanangu ananiambiaga Mama mbona unaongea sana mi naelewa 😂
2026-08-21 12:55:16
1
nado🦋 :
ngoja nikufolo aiseeeee
2026-08-20 05:48:01
4
Elia Sanga :
fact madam
2026-08-20 17:47:24
0
Unsung_hero :
Umenena vema !!!💪
2026-08-20 10:19:18
1
To see more videos from user @madamemmiy0, please go to the Tikwm
homepage.