kaka kwanini kila nikiota kitu usiku af pakikucha kinaenda tokea ninini hii jaman mpaka naogopa pia napata hofu kukiongea dah, kinaniogopesha sana kaka.
2026-08-20 16:02:07
0
Veronica Yohana12 :
naomba mtaji nataka nifunguwe mungahawa laki tano tu kaka
2026-08-20 21:55:03
0
alex sembeti :
hii ambali ukimaliza kuogea sku saba naioeleka wapi
2026-08-22 20:18:31
0
aneth mumwi :
nateswa n'a miguuu naskia vitu vinachoma kwenye nyayo kaka nisaidie
2026-09-11 09:25:27
0
Said Kadinda :
nisaidiy kaka manyanda
2026-09-15 10:56:44
0
jokingston2 :
kwel kaka nakubali sana
2026-09-17 08:27:54
0
vero123 :
kaka manyanda mm naumwa fangasi isyo pona ya sehemu zang