@ubeparicompany: Follow & Share , Probably you won't see this page again #techtake #LetsDoThis #fyp #fyppppppppppppppppppppppp

Ubepari_pc
Ubepari_pc
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 15:16:11 GMT
25385
911
12
69

Music

Download

Comments

young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-19 15:28:53
2
innolizer__
INNOLIZER 👑 :
number🙌🙏
2026-09-06 08:02:06
0
efooballer_1
Eplus1⚽ :
yangu imegoma
2026-09-29 08:41:28
0
ibraimu.mjeshi
ibraimu mjeshi :
nakubali
2026-09-13 22:45:47
0
yasfiberagent
Yas Fiber Agent Dsm :
wambie fiber ya uhakika ni yas 😁😁 huku tunabonga tu
2026-09-24 18:09:29
0
kaka.duli
kalikali :
tufundishe paswad za waifi
2026-08-23 11:23:48
0
user6925857983coolmaker
coolmaker :
mm nashndwaaa kwenye cmu ang
2026-09-01 04:55:53
0
brendamwandishi
brenda :
ww unaarakisha sana Mwalimu uwa afunzi mtu Evo mbio
2026-09-15 19:05:06
0
skullbag.13
skullbag13 :
leo nimekuwa wa kwanza 💯💯🫴 njoo chuo cha lgti kaka ma hacker wapo wengi na wanakukubali sana
2026-08-19 15:19:30
1
omarkassim071
Omarkassim :
🥰🥰🥰
2026-09-03 12:03:45
0
abedi_asake
ₐbₑdᵢ ₐₛₐₖₑ ⭐ :
😳😳😳
2026-08-19 15:26:41
1
To see more videos from user @ubeparicompany, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About