@janenauzazi: #usa🇺🇸 #oman🇴🇲 Je, umewahi kuona uchafu uliochanganyika na damu au kutoka wenye rangi ya udongo/kahawia? Hii ni moja ya dalili kuu za PID (Pelvic Inflammatory Disease) au Ugonjwa wa Uvimbe wa Njia ya Uzazi. PID hutokea pale maambukizi ya bakteria yanaposambaa kutoka ukeni kwenda kwenye mfuko wa uzazi, mirija ya uzazi, au ovaries. Dalili zingine za PID unazotakiwa kuzichunguza: 📍Maumivu ya chini ya kitovu (tumbo la uzazi) 📍Uchafu wenye harufu mbaya au rangi isiyo ya kawaida 📍Kuwashwa au maumivu wakati wa tendo la ndoa 📍Maumivu au hisia za kuungulia wakati wa kukojoa 📍Hedhi kuvurugika au kutokwa na damu katikati ya mzunguko Ukiacha PID bila kutibiwa mapema, inaweza kusababisha kuziba kwa mirija ya uzazi, maumivu sugu ya tumbo, au matatizo ya uzazi. Usipuuze ishara ambazo mwili wako unakupa! Chukua hatua mapema na kulinda afya yako ya uzazi. Save video hii, share na mwanamke unayempenda, na comment "Uzazi" au nitumie ujumbe moja kwa moja ili kupata ushauri zaidi wa jinsi ya kusafisha na kuondoa maambukizi haya #janenauzazi #tiktok #foryoupage

Uzazi Safe
Uzazi Safe
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 15:20:39 GMT
466
2
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @janenauzazi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About