imagine mtu anakukasirikia kwa sababu ya pesa ambayo hajui umetoa wapi😂😂😂
2026-08-20 06:09:13
16
Elizabeth Matiko :
jamani mim nahuruma na ndo maana sijapata kama huyu anipende nimpende tujenge maisha
2026-08-20 15:35:52
3
Ziada Juma :
allah awap maish maref wanaume
2026-08-20 12:57:58
4
aloyce3 :
au anakudai??
mm n mwanamke lakn yooh sjawah fanya hvo 🥺🥺
2026-08-20 15:25:09
1
Nuruel Obed :
😢😢😢eeeh mungu msaidie apate mwanamke mnyenyekevu...au mlete kwangu
2026-08-20 06:26:58
4
princepon :
Mapenzi bora uyaskie tyuu kwa watu kwakweli 🤣🤣🤣🤣
2026-08-20 10:27:22
2
Hussein Nelson :
hapo hakuna upendo imagine nihangaike kutafuta pesa na wewe unihangaishe yaan hiyo ndo gaad bye
2026-08-20 10:57:51
2
kimkeriah167 :
me ni mwanamke ila usitume😂
2026-08-20 14:24:30
2
D.A.X :
acha kufoc mapenzi huyo anakupa nini zaidi ya stress 😩
2026-08-20 10:57:57
1
yudaisack324 :
oa kama ni mm hiyo imeenda
2026-08-20 07:12:43
1
@aggyj :
naogopa mim jaman🥹
2026-08-20 10:30:18
0
🌹🌸mima🌸🌹 :
daaaa muwe mnatusameh tu jmn
2026-08-20 11:38:57
0
Magreth Muhozya :
Daaah 😥Mapenzii Bhan
2026-08-20 04:38:17
1
80% smile :
hailuhusiw kuwaendekeza bro
2026-08-20 06:18:40
1
1k,jimmy :
na siavideo call aone uko job
2026-08-20 19:14:13
0
PASTOR GEORGE SAMWEL :
MWANAUME N NGUMU KUAMINIKA NA MWANAMKE AMBAYE HAONI UPENDO ANAONA FEDHA
ILA MWANAUME UWEZO WETU HAUPIMWI KWA PESA UNAPIMWA KWA UPENDO WETU KWA WAKE ZETU
2026-08-20 19:20:26
0
makaveli :
2026-08-20 19:30:54
0
🌹esposa de sevgilim🦋 :
kwan wanawake tuna shida gan jamn mbn uvumiliv na utu ni kazi kwetu
2026-08-20 19:33:33
0
k J :
daah
2026-08-20 19:42:02
0
To see more videos from user @therealmansafari, please go to the Tikwm
homepage.