@jmtkaziiendeleeetz: Rais na Mwenyekiti wa Shirika la Wanaume Wanaopitia Changamoto Kwenye Ndoa zao (SHIWACHADO), Ernest Komba, amesema sababu iliyomfanya apigwe na mke wake hadi kung’olewa jino ni kitendo cha kuomba haki yake ya ndoa. Komba amesema hayo alipokuwa akizungumza katika kipindi cha Mwendo kinachorushwa na TBC Taifa. #tanzaniatiktok🇹🇿🇹🇿❣️🇰🇪🇰🇪♥️ #kenyantiktok🇰🇪 #dodomatanzania🇹🇿 #tbc #ndoa

JMT kazi iendeleeetz🇹🇿
JMT kazi iendeleeetz🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 15:33:47 GMT
15731
295
43
107

Music

Download

Comments

maritha1236
maritha1236 :
another cheers to our sisterhood 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-20 07:50:03
2
jema.atanasi
Jema Atanasi :
🤣🤣🤣🤣😂oooooho
2026-08-20 10:48:05
1
catherine.mohamme
Catherine Mohammed :
Nashindwa kuelewa!!?
2026-08-27 11:25:27
0
iasha8389
@iasha8 :
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Nachoka
2026-08-19 19:37:52
0
sdif1000
[email protected] :
huwezi kuelewa kama hujawahi kupitia hizi changamito
2026-09-04 09:08:29
0
neemalembaoneema5
NL🌹🌹🌹 :
aise pole
2026-08-24 06:46:44
0
nataria59
user4600924961961 :
next
2026-08-20 17:39:42
0
jeremiah.daniel82
jeremiah Daniel :
hujaelezea vizuri ulikuwa unapigwa kwamba alikuwa ana kuzidi nguvu au ulikuwa umeamua ukae kimya tu huku unapigwa
2026-08-25 05:16:00
0
user6396142258699
Doreen :
dah pole njoo mi nakupa kila saaa
2026-09-01 19:05:10
0
guantanum.boy
Guantanum boy🤓 :
Toyota ujeeee
2026-09-05 05:45:29
0
filbert.kimati
Filbert Kimati :
wengi ndo hivyo wakishaingia kwenye nyumba wanabadilika kabisa na wanasababisha Kwa kiasi kikubwa wanaume kutoka nje ya ndoa.
2026-09-03 17:09:46
0
joshuamjeshi477
The True Nswila :
heee dunia ni ngumu jamani,ila wanawake tutafika mbinguni tukiwa tumechoka,kwanini usimpe baba wa wawatu
2026-09-02 05:45:57
0
kakenyeli.traditi
kakenyeli traditionol clinic :
Nyie watangazaji Chevening tu kwa sababu hayajawakuta tu
2026-09-03 12:27:11
0
bezalelisanga5
🎁💝Bella💖💍💗 :
mwanaume unapigwa duuuh,kuja kwangu bc
2026-09-03 10:20:10
0
lubycom
Father & Son :
Hayo yameisha nikuta na Mimi ila kupigwa ndio siwezi pigwa
2026-09-03 13:51:47
0
user988009596317
user988009596317 :
🤣🤣🤣🤣
2026-08-19 19:43:09
0
grace_lunyungu_2015
gracelunyungu405 :
😁😁😁
2026-09-03 07:48:54
0
grace_lunyungu_2015
gracelunyungu405 :
🥰🥰🥰
2026-09-03 07:50:05
0
grace_lunyungu_2015
gracelunyungu405 :
😳😳😳
2026-09-03 07:50:11
0
grace_lunyungu_2015
gracelunyungu405 :
🥰🥰🥰
2026-09-03 07:50:17
0
grace_lunyungu_2015
gracelunyungu405 :
😂😂😂
2026-09-03 07:50:19
0
grace_lunyungu_2015
gracelunyungu405 :
😳😳😳
2026-09-03 07:48:15
0
grace_lunyungu_2015
gracelunyungu405 :
😁😁😁
2026-09-03 07:50:22
0
grace_lunyungu_2015
gracelunyungu405 :
🥰🥰🥰
2026-09-03 07:48:41
0
grace_lunyungu_2015
gracelunyungu405 :
😂😂😂
2026-09-03 07:48:49
0
To see more videos from user @jmtkaziiendeleeetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About