@nuktatanzania: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema yeyote anayehisi amekosea kwa kutoa agizo la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari zake katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli ampeleke mahakamani. Akizungumza na wananchi leo Agosti 19, 2026 katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, Chalamila amesema baadhi ya watumishi wa umma wamechangia kukiua kituo hicho kwa kupokea ongo na kusisitiza kuwa yeye ni ngumu kwa mtu kummudu.

NuktaTanzania
NuktaTanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 15:36:01 GMT
13657
336
17
2

Music

Download

Comments

ochu_bey
OCHU_BEY :
Well said
2026-08-19 19:04:25
0
tatu.hamza1
Tatu Hamza :
hili jembe la dar umepaweza baba sie tutakuja magufuli Wala Haina shida kabisa
2026-08-19 17:25:24
2
sheikhhatari
sheikhhatari :
Sasa hao wanaoshangilia nao ni akina nani?
2026-08-19 17:48:16
0
smart.roadways
Smart Roadways🚍 :
Na hao wanaoshangilia kubusu mapato wao waulize wanachangia shingap kwa miaka 10 na uliza mwenye basi anachangia shingapi kwa mwaka
2026-08-19 18:29:18
0
user2231211358217
MR Furaha Luge . :
safi
2026-08-19 20:20:43
0
hamis.ramadhan87
Hamis Ramadhan :
asante dokta samia 👍
2026-08-19 18:35:09
0
strongboy604
Em🔞👈✨ :
RC mindo nimerudi stend
2026-08-19 18:24:54
1
mwasengo4
mwasengo :
Mweshimiwa chalamila kiukweli uongozi unakufaa ni jasili wote mngekuwa majsili kama wewe tusingefikilia maandamano
2026-08-19 19:09:16
0
raymond1849899759340
Raymond :
daaaaah tanzania yetu😳😳
2026-08-19 17:31:14
0
aloycetemu860
Aloyce Temu :
sasa hawawezi kukumudu nanafasi yako niyakupewa kama pipi aliekupa iyo nafasi anaweza kusema kesho utoke
2026-08-19 18:03:52
0
To see more videos from user @nuktatanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About