Hivi ukibaki tu kuwa maskini wa Mali kwani kuna shida Gani hapana jamani siwezi
2026-08-19 19:59:52
1
anna :
sasa uko naenda kutafuta nn
2026-08-19 19:39:04
3
Vero_0305 :
yani mim hatamunipe bioni 300 si wezi๐๐๐๐๐๐dรนuuuuuuuuuu
2026-08-19 17:17:01
2
GODFREY NYERERE. :
mm naenda tena sio hata hela sema mbali tu ingekuwa sehem yangu ya mazoesi
2026-08-19 20:37:53
0
Rinah๐Tz๐ฏ :
Duuuuh mpaka na tetemeka nawakati sijapanda๐ณ
2026-08-19 18:56:03
0
KATORO BOY :
Kipindi mtoto nilikua napenda wali maharage ila sasa nimekua na bado napenda wali maharage,hivi hii kitaalamu imekaaje!
2026-08-19 19:47:29
0
E.Q๐ฆ Esther ๐จ๐ฉโค๏ธ :
๐๐Mhhhimmmmm jamani Mimi bado napenda chipsi, kek, samaki , chicken na Fanta ya baridi ๐๐๐hata mukinipa million 95sita panda Uko ๐๐ na dhambi yangu hiiii sitapima Mimi ๐๐pale Mungu anaweza tuma malaika wani chukuwe na sija tubu ๐๐๐๐
2026-08-19 20:36:16
0
dreva wa katoro :
bola nikae nyumban nichunge mbuzi
2026-08-19 18:14:59
0
its.furaha :
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ yani hapo naweza enda kwa hiyari yangu ila nikifika katikati naeza liaaa na kuanguka kabisa
2026-08-19 17:46:27
3
mariam mkumbo :
ukiteleza tu kidogo kwisha www๐คฃ๐๐คฃ
2026-08-19 18:31:57
2
benard mudege :
siwezi better ikae hiyo dollar
2026-08-19 19:25:40
1
NATHAN Kibona :
๐น๐ฟ inazaidi ya watu milionn 60,naamini hakuna mtanzania hata mmoja aliye wahi kupita hizo njia, rabda October 29
2026-08-19 19:15:15
1
To see more videos from user @ibraah.og, please go to the Tikwm
homepage.