@t_kasha25: Mwanangu ❤️ 💔 #creatorsearchinsights #newsong #kenyantiktok #tanzaniamusic

@T KASHA
@T KASHA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 16:05:08 GMT
298759
8592
115
118

Music

Download

Comments

am_soph
am_soph :
Wajue na kuwahudumia hao watoto sio ku post tuu 😏
2026-08-23 06:07:12
7
user5844863020293
blossom of the savannah 🥰 :
naeza post na hii ama ni wanaume wanafaa kupost ju nimesikia baba hapo
2026-08-24 13:20:41
2
puritykadzo920
purity :
wenye walikataa mimba na kutoa mimba watasikia kwa tktk hii nyimbo🤣😂😂
2026-08-24 10:11:19
3
nath45b
Nath limo :
continue rest in power my son😭😭
2026-08-22 11:24:26
1
mr_senior11
Mr Senior Tissian :
daah Hadi nimemisi mwanangu na mama ake, soon as possible nitakuwa nao karibu.
2026-08-23 13:37:24
4
remigiussylivanu3
Remigius Sylivanus03 :
piles❤️‍🔥❤️‍🔥
2026-08-19 17:33:52
2
rachelmsukuma
Rachel Msukuma Tz :
mbona Sasa mkitupa mimba mnatukimba harafu saivi mwanangu mwanangu heeee mnajifuraisha tuu
2026-08-23 16:45:02
2
tuashi7
tuashi :
nimependa nyimboo yenu
2026-08-21 19:12:50
2
cute_zawdy
Cute_zawdy🌸🫧 :
wal wot walotutelekez na watt wetu inyimb itawaumiz myo kuwa namtt laa San
2026-08-22 12:41:51
1
priscillamboza1
priscilla wa saru :
mwanangu thuu kuhudumia aaah
2026-08-23 16:27:44
1
user6557036072381
Golden chance(Rich safari) :
kali saaanaaaa
2026-08-22 09:14:40
1
joynerkibuka
Antiapeace :
mjomba wee
2026-08-20 06:31:12
1
user7420825261757
mama tomboy :
kabisa uwo ndoukwel nampenda mwanangu kuliko chochote
2026-08-23 06:05:01
1
enock.ifrahimu.tz
enock ifrahimu TZ :
tunataka wimbo mzima🥰🥰🥰
2026-08-19 18:47:26
2
zungumapambo
Mr pasair ❤️🇯🇪👋 :
nitumie wimbo wote😊
2026-08-19 17:25:42
1
shamjiajibu
Shamji Ajibu :
hata iwe Lin nitampost mwanangu kwa nyimbo hii naisubir huo mwaka
2026-08-22 11:42:09
1
lucyalois612
Lucy Alois :
pole kk
2026-08-22 11:25:39
1
adammlega
omardua :
mnajifaliji, neno, baba weeee watu wanajiongelea peke yangu
2026-08-23 13:19:40
1
enock774848
enock77 :
umetisha kka Ngoma kali sana
2026-08-19 21:13:20
1
sirmoramlowe
Sir Mora :
Nimependa sana Kazi, Ningepata nafasi ya kukushauri kabla nyimbo haija toka, ningekwambia Chorus Round ya kwanza ingeimbwa kama ulivyo imba, Round ya pili ungeingza sauti za kike iwe kama Round ya kwanza, Lakin Eneo la kwnza itamke Baba kwa saut za kiume upande w pili itamke Mama kwa sauti za kike, nyimbo ingekuwa kali zaid maana ungekua umegusa watu wote.
2026-08-23 03:55:10
1
rafavibestz
Rafa vibes😎🔥 :
huyo alievaa nyekundu mwambue namsalimia japo nimesahau jina 🥰🥰🥰
2026-08-19 16:09:42
1
user84657011487775
user84657011487775 :
kar iyo wakwetu ongera san
2026-08-21 08:17:03
1
elizabethmwita415
Elizabeth Mwita :
wimbo unaitwaj
2026-08-22 14:00:45
1
itsbuhi
🏀_Trent_Buhi_🤴 :
Hii song daaah kaliiii sanaaaa
2026-08-19 18:30:50
4
To see more videos from user @t_kasha25, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About