HUU NDIO MWISHO WA SEASON ONE MASHABIKI ZETU KESHO MAPEMA USIKOSE SEASON TWO MOTO UNAANZA UPYA🔥🔥🔥🔥
2026-08-19 16:06:52
43
🦋🦋Aysha🦋🦋 :
it true finally 👌👌
2026-08-19 16:33:59
4
black fox 040 @ :
duuuh kk kwann usianze leo leo
2026-08-19 19:11:06
8
Zuhi m☺️🫰💕 :
wakumi na sita leo🥰😁
2026-08-19 16:34:28
4
🩵COPY YA BABA🩵 :
toka tulalamike ep 2 kwa siku ni unajipostia tu mda wowote😂😂😂😂
2026-08-19 16:18:36
5
user6388575858749josse :
tupe boss
2026-08-19 17:31:59
3
@angel :
jana sijawaona mkipost mpaka nilijisikia vibaya
2026-08-20 06:31:01
1
Nay Faty :
ila bendela ya tanzania🤣
2026-08-19 16:45:34
2
merry :
kumeaza kunoga huku wapedwa
2026-08-19 17:09:37
1
Glory Sadick :
natamani iwe nzur zaid kesho saa ngp
2026-08-19 17:51:10
2
Marie❤️ :
next 42
2026-08-19 16:24:58
2
Hawa :
yakwanza tyu nmetokaa na majerah ya pil siitaman tyu coz spndii kuon jesc na jonas wanfurah ,,,bill umempaa mateso y muda mrefuuu stak ikiwezekn un unfolow tyuu
2026-08-20 17:04:54
1
hainaupinzani JR :
ila mumejiwai sana
2026-08-19 17:09:19
1
Nyamongo Da G collection :
yaani nikiikosa jmn nachanganyikiwa akili mie ndio naipenda tu hiii kwa ss
2026-08-20 06:16:39
1
Rukia Laizer :
huu mchezo hauhitaji hasirah
2026-08-19 18:38:58
1
Nack@! :
Mzee umekwisha
2026-08-19 19:42:04
0
Christina Lawi :
siku hizi inachelewa maana me nilikuwa naamka Nay asubuhi ☺️☺️☺️☺️☺️
2026-08-20 08:21:10
1
20.chagu B13 :
ko inaendelea
2026-08-19 18:26:26
0
Ziada Said :
umemaliza vibaya vp mwisho wa bili
2026-08-19 21:22:29
2
20.chagu B13 :
kaka itaendela kama kawa au stori ita badilika
2026-08-19 18:23:32
1
@rairy025 :
apoo kweny kifaransa ungefanya kanamnaa 😁😁
2026-08-19 18:38:33
1
glory james :
hongera sanaaaaa kwa kazi nzuri, season 2 pleas
2026-08-20 10:37:00
1
Lizzy :
jamani jamani Siyo kwakuwahi huku leo season two ikianza mnishitue
2026-08-19 16:13:41
4
Ika fai :
zumo sensor 2 kaisha ajiamdae kulia zaodi ya ambulance
2026-08-19 16:56:33
3
vin g🥰 :
season two 🥹🥹🥹🥹🥹
2026-08-20 07:41:51
1
To see more videos from user @zumoflixtv, please go to the Tikwm
homepage.