kuna siku niliamka kuswal usik SAA tisaa Nikawa nalia juu ya ninayopitia kwa ndoa Ila mme Wang aliamka akaanza kunipiga pale nikiwa kweny mswala😰😰🤦 na bado akasema unaninipigia makele Toka hapa kweny mswala nilijiskia vibaya mashindwa kusahau mpk Leo japo hatupo pmj ,from 2022😰😥🤦naumia
2026-10-01 08:01:08
0
asmaa omar🥰 :
asalm aleikum nauliza inastahili ulale uamke ndip uswal au km huna usingiz unaeza kaa macho hd time ifike
2026-09-27 22:15:45
1
kuluu washrabuu :
s a w
2026-08-21 16:17:51
1
thimu10 :
Allah atujali mwesho mwema
2026-08-20 18:11:56
4
zulfa Ali :
Allah Akbari
2026-08-23 14:13:49
1
Ummy Khamsah :
Ninapomaikia Sheikh anasema mwamshe mkeo aswali. huwa najiuliza Sana. hivi wanaoamka kuswali Sana usiku Nani? Mie naona Wanawake . mwanamme kahenyeka mchana kutwa. hiyo Swala ya Alfajir Aamshe. Masheikh ongeeni na Jamii msiongee na masheikh wenzenu ambao wanaoamka ni machache Sana.