@power_media08: MCHEZAJI IBRAHEEM JABAAR AMEPEWA KADI NYEKUNDU YA KITOTO SANA. Mechi ya pili kwa Simba SC na kadi nyekundu ya pili vile vile. Baada ya Duchu kupata mchezo wa kwanza dhidi ya Kagera Sugar leo ni zamu ya Jabaar katika mechi dhidi ya Pamba Jiji FC ya Mwanza. Kitu kizuri pamoja na kupewa kadi nyekundu na kucheza pungufu sehemu kubwa ya mchezo lakini bado Mnyama ameokota alama sita katika mechi mbili na anaongoza ligi. Ila kuna mechi za ligi msimu ukicheza punguza kwa dakika nyingi kama zile za leo dhidi ya Pamba Jiji FC haitakua rahisi kutoka salama uwanjani, hivyo Simba SC wakae chini na wachezaji wao wawakumbushe msimu huu kuna tekinolojia ya kurudia matukio tata ya uwanjani.

Power media
Power media
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 16:24:53 GMT
3307
48
1
1

Music

Download

Comments

user11266549744
user11266549744 :
amefanya makosa ndyo but hajawa wa kwanza kwan fey hakufanya ivo acjen mabango kwel amakosea bas tiangalie mbele mambo mengine ni ya nje ya uwanja sana
2026-08-19 17:16:28
0
To see more videos from user @power_media08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About