TATIZO WATANZANIA WENGI HAWAPENDI KUJIFUNZA. EMBU WE FIKIRIA MTU ANAYEWAPA MSHAHARA WANAMUIBIA MAFUTA NA KUMTUKANA MATUSI ALAFU KESHO VIONGOZI WANAWASEMA KUWA KAZI HAIISHI. I KIUKWELI TUBADILIKE
2026-08-20 20:27:45
27
msemwamsemwa :
mbona hawaluki juu kama kwenye mouvie au
2026-08-20 17:13:24
41
Momly :
Tusomen jamn tusomee🤣🤣
2026-08-20 19:14:18
12
Josephat nzumi :
Shandom Hawa mhmm
2026-08-20 20:24:20
0
Erick mwisyo :
hii video nimerudia mara sijui ngapi.mbaka nimeisave
2026-08-21 06:05:32
3
ln :
yaan mbongo kumtetea ni kazi San
2026-08-20 19:47:44
8
babubombahb :
mimi sina passport 😂
2026-08-20 13:29:29
19
Happy Mazuguni :
mi nimesikia tu polo kodio😭
2026-08-20 20:40:36
3
Doreen Willbard :
ila wabongo wana zalau saa nyingne jmn
2026-08-20 15:40:08
8
Intropact 🤫🤔🫡 :
nikisema wiii unajibu uu --- aya twende wiii----- ???
2026-08-21 06:48:03
0
faudhia :
heee jamani Mzee uyoo namjua
2026-08-20 18:59:55
1
user52357282816758 :
wao wenyewe wanatuibia madini yetu
kila siku kwenye master,
watu wanashindwa kuelewa mafuta niya boss au operator wa kaz
2026-08-21 08:22:46
0
fatma🥰 :
nimesikia kabishe 😂😂😂😂
2026-08-20 23:43:44
3
Joshua Ngilisho :
ninashindw kuelewa nashind kuelewa
2026-08-20 19:28:33
2
majaliwa B lemblis 01 :
karizwa kitambo
2026-08-20 10:53:01
3
user5769790745097 :
Sasa kazi itaisha na pengine ana nyumba 2 kwa ajilinya kupiga mafuta ya kazi. Ebu wasimamizi wa miradi warekebishe hawa watu wetu nje huko tunasemwa
2026-08-21 00:01:51
2
🦋lomeo🦋 :
Dah!! Tukiwa tunaomba kazi tunakubalian na yoyeee!! Ila wakitukeraaa sasaaa 😂😂😂