@jaysontz2:

Jayson
Jayson
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 16:29:57 GMT
13036
479
21
17

Music

Download

Comments

fabian.william1
willi𝕀'𝕄✅ :
sisi simba wote mbumbumbu😂
2026-08-19 18:00:51
1
mlagwa1
Mlagwa :
wakulalamika mfanyiweje
2026-08-19 18:08:25
0
omary.bopary
Omary Bopary :
mtalalamika sannaaaa mwaka huuu
2026-08-19 18:16:37
0
minzamikomangwa
minzamikomangwa :
hakuna kitu maamuzi ni sahihiii
2026-08-19 17:20:36
1
user1902483534643
user1902483534643 :
malaamiko tayari 😂😂
2026-08-19 16:41:31
0
sanga12377
Sanga123! :
mimi ni mwanasimba!naridhika na maamuzi ya marefa hata km yameiathiri sana simba!ila wachezaji naomba wawesiliasi kiukweli
2026-08-19 17:29:48
1
traore.the.great
Traore the great :
VAR ni ya kuiumiza simba
2026-08-19 17:54:16
0
jose.mabula
Eng jose mabula :
nidhamu iongezeke kwa wachezj wetu
2026-08-19 18:08:54
0
bichuka77
Bichuka77 :
uwaambie na wachezaji back pass nyingi sana waache mchezo huo
2026-08-19 18:15:05
0
theonestanthony92
theonestanthony92 :
sasa mlitaka apewe nan
2026-08-19 16:52:03
1
mayasasimai
mayasasimai :
kweli kabsaa barua iandijwe tuu vdeo zao za DVD inatuumiza cye tuu simba
2026-08-19 18:25:53
0
halunamdende
Haluna Mdende :
tayari 🤣🤣🤣🤣🤣 kwishaaaa Yanga bingwa
2026-08-19 17:11:40
0
ayubujuma76
Abuu Hannah :
wameshaanza
2026-08-19 16:53:30
0
gent.wakushain
Gent :
aliyeharibu mchezo ni aliyepiga kiwiko sio red card
2026-08-19 17:09:51
0
madigison1
Madigison :
kaka ya ya duchu na ya jabaar ni red card vip ya cku ile kwa mechi ya tanga ma simba ule mpira wa kichwatu akaweka mguu
2026-08-19 18:15:39
0
m.zaha1
ISLAND BOY :
kwani mukoko tunombe si alipigwa nyekundu dhidi ya Simba baada ya kumpiga kiwiko John bocco au mmesahau
2026-08-19 18:07:03
0
mashili6
Gemini :
Kila siku malalamiko ,mnataka achezeshe malaika??
2026-08-19 17:09:06
0
simoniamosi
Simoni Amosi :
nyie kila kitu mnalalamika
2026-08-19 16:58:41
0
sekelasekela350
Sekela Sekela :
mtuache kwan nyie inawauma nn ata tukicheza watano mtashenyetwa tuu.
2026-08-19 16:53:41
1
derickjohn846
Derickjohn :
mtaumbuka Sana Mwaka huu, P. Zenu..
2026-08-19 16:49:28
0
self.312
self :
kbs maaan wanatuonea kbsssaaaaaa lasivyo tukanyweshe maji halo laptop
2026-08-19 18:17:03
1
To see more videos from user @jaysontz2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About