@nuktatanzania: Akizungumza leo Agosti 19, 2026, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewaonya madereva wa mabasi wanaokaidi maagizo ya Serikali kwa kufuata maelekezo ya waajiri wao, akisema dereva anayemfuata tajiri badala ya kusikiliza maagizo yake familia yake itamsahau kwani atampeleka mahakamani na kumfunga.

NuktaTanzania
NuktaTanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 16:32:58 GMT
133576
4011
253
131

Music

Download

Comments

vivian22444
viviandule :
ila chalamila madaraka Yana mwisho baba wee
2026-08-19 19:36:21
28
sunjeh_tz
sunjeh :
ukiliangalia hili swal kwa undani chalamila yupo sawa
2026-08-19 19:08:21
44
eden.herbal
Eden Herbal :
Ila mm naona ni saw tu kabisa
2026-08-19 18:37:40
17
sweetieshirima
Sweetynana💕 :
Hapo kweny kumsahau😭
2026-08-19 18:44:00
14
wilsonkabula
Wilson Kabula :
ahaha hapo sio haki kabisaa,hapo l not suporting nothing can be something,😁😁
2026-08-20 11:17:12
0
ibrah.anyimike
Ibrah.anyimike :
nchi ngum sana
2026-08-19 17:52:58
10
jeffryder744
Jeff Ryder744 :
Vina Muda baas,,,, Uzuri Bus na Malori ya hapa Nnchin Mengi n ya Wakuu wacha Inyeshe tuone panapo Vuja.
2026-08-19 18:08:32
23
maalifa.mbange
Maalifa Mbange :
inaonekaana rais amesafili ngoja akiluud tumsikie nayy anaamuwaaje🤔🤔
2026-08-20 05:30:52
5
medy.rashidi
Medy Rashidi :
Nchi inaendeshwa kwa sheria na kanuni sio matamko ukijisikia tu eti familia yake itamsahau dah
2026-08-19 18:24:46
5
fredrickmarwa3
toll mnyama :
watanzania hiyo stend imejegwa kwa madhumuni ya mabasi pia miji yote iliyoendelea duniani stend aiwezekani ikawa mjini lazima iwe nje ya mji pia mbona wakati wa hayati magu hivi kuna mtanzania anaweza kusema neno huyu mkuu wa mkoa ni mtendaji yupo chini ya mh rais mama samia hii ni amri sio ombi.
2026-08-19 18:18:58
5
user94499587587853
baby Rose :
tuna kujuwa mzee wa sifa
2026-08-19 18:46:00
5
selemanlufuge4
Seleman Lufuge :
BIG UP mr cM
2026-08-20 10:49:52
0
dyud516
Dyud... :
hao wanaoshangilia n madereva au abiria ..
2026-08-20 04:12:55
1
john.mweji
JOHN MWEJI :
Kuna issue ya service pia...basi ni lazm lifanyiwe check up garage na garage zipo mjini....tusije tukaanza kusafiri na mabasi mabovu mabovu..,tuangalie hilo pia, thanks
2026-08-20 06:54:30
1
chifumugodayibaruti
Chifu MUGODAYIBARUTI :
Ujue kinachogombaniwa ni nini watu wa Mabasi hivi stendi c zipo ? kwanini wasiende tu Stendi kila Mwananchi akajua na kufika Stendi
2026-08-19 18:42:54
2
user5176111341363
hekaheka mtoni :
MNGEANZA NA KWARA NINGEONA MMEFANYAKITU
2026-08-20 14:34:54
1
uwejeselemani
Uweje Selemani :
safi kabsa serikali 💪💪💪
2026-08-19 20:37:39
0
user1644186783078
user1644186783078 :
huo ni uongo
2026-08-19 18:11:09
1
salhasuleiman861
salha :
madereva wote gomeni tuone wasafir wataendaje mikoan alafu wao watoe magari Yao wenyew
2026-08-20 05:22:26
3
luphotopesa4
Luphotopesa :
hongera mkuu wamkoa
2026-08-19 19:06:24
0
yayasaka5
Yaya saka :
hizo sio Kaulitz ukiwa kiongoz😭😭😭
2026-08-19 18:15:27
2
christina.japheti4
Christina tumaini :
mnatukomoa mtu anashika manzesa anashishiwa mbezi Bado mnatupa wakati mgumu
2026-08-19 23:57:52
1
pmpally
AFRICAN KING 🤴 :
sasa watafanyia service wapi
2026-08-19 17:49:40
2
j_kilawe
Jackson :
watu wa kaskazini wamenda kukata tiket tegeta
2026-08-19 17:42:34
3
bavarianboy01
beamerloops garage :
mkuu wa mkoa umewasahau na watu wa ist🤣
2026-08-19 23:37:48
0
To see more videos from user @nuktatanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About