@silvenchyy: Sawa binti 🤣💔#creatorsearchinsights #tanzaniatiktok🇹🇿 #ticktockkenya🇰🇪🇰🇪 #swahilitiktok

silverr🤩
silverr🤩
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 16:52:26 GMT
72702
3135
301
1133

Music

Download

Comments

armielynrichard
🥰armielyn24 :
Yan nisuke dread na nikae nazo week are ue serious 😏😏??Tupishe sie😂😂🙌
2026-08-20 12:41:36
42
anna.aristidi.tar
Hannah❣️❤️ :
wa dreads tunacomment wapii😁😁
2026-08-20 19:47:28
0
baby.saranda6
baby saranda :
Tuache bhana😂🤣🤣🤣
2026-08-20 09:04:31
1
godsfav0595
🌸 :
Weeee unaijua french curl ww
2026-08-20 07:52:42
17
anawezalupinda
cian_cupcake :
kasuke bony straight 🔥 👌
2026-08-20 17:22:07
0
natty_rine
Natty☺ :
Me na minyoosho yang mwez mzima😂🙌
2026-08-21 07:52:34
7
ms_niccah
ms_niccah :
Kheri msuko kaka yangu,mim kuna kawigi nakavaa mwezi wa tatu huu unaelekea kuisha yan hadi watu wanahisi labda nilizaliwa hivi kumbe n wigi😁😁
2026-08-20 12:45:38
50
mspriscy1
프리스카 :
Yani nijilipie nywele ya 70k alaf nifumue wiki bora mniue😂
2026-08-20 12:24:02
13
backtomyname
scarlet heart moms daughter❤ :
bora uwaambie me nikifumua nywele baada ya siku sita nasemwa 😅😅😅
2026-08-21 05:49:56
4
queencash456
L‼️🖤 :
Hizo apo😂😂
2026-08-20 08:52:55
2
___r.e.y.__
___r.e.y.__ :
Nina mistari yangu naenda mwezi wapili saiv😅😂😂
2026-08-20 16:08:30
2
fine._.girl1
Jojo🍭🍭 :
nisuke french curly ya 200k nifumue baada ya wiki mmmh mpaka zipotee rangi 😂😂
2026-08-20 12:33:35
0
hairbykimkei2
kimkei🇹🇿 :
😂😂😂Enhe
2026-08-20 11:32:09
1
mbatahnu9rc
sophie :
kama najigharania hii hainihusu
2026-08-20 16:42:38
0
berty.chaula5
Berty Chaula :
me mbona nakaaga miezi sita 😳😳
2026-08-20 14:59:22
1
To see more videos from user @silvenchyy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About