@sama_luxury_official: ๐จ KARIAKOO, TUMEFIKA! ๐จ Sama Luxury Coach sasa tupo Kariakoo! ๐๐ Tumeleta huduma zetu karibu zaidi na wewe kwa ajili ya abiria na mizigo. Na kwa wafanyabiashara na wateja wetu wenye mizigo, kuna bonus kubwa zaidi! ๐ ๐๏ธ Tunakufatia mzigo dukani BURE kabisa! Ndiyo, umeona vizuri โ BUREEE! ๐ฅ Wewe endelea na biashara zako, sisi tutakufatia mzigo wako. ๐ Sama Luxury Coach โ Kariakoo ๐ Mtaa wa Kariakoo na Simba ๐ 0770 111 550 | 0754 671 210 ๐ Best Choice of Travellers