uwe unaandika bei na location jaman sio vzr kusumbua wateja
2026-08-20 07:49:32
94
MMUYA TZ :
tuliokuja kuxoma kometi tujuabw
2026-08-26 16:17:42
14
Kondo Amiri :
dada vip unafirirana nn
2026-08-22 20:39:29
12
LAGO FILIMS :
mmmmmmmh
2026-08-27 19:26:54
0
Hassan_Nagaz! :
Tutajenga Kwel ??
2026-08-25 18:17:56
5
recho :
tushapoteza
2026-08-26 08:19:09
6
Swalehe Iddy Mussa :
munatuandikiya na bei tujuwe
2026-08-24 07:27:17
6
DEEKHAM TZ :
weka location bei na kila kitu unatutesa kuanz kuiliz
2026-08-27 12:47:00
2
kenirojas651 :
hatuta jenga mwaka huuu
2026-08-27 13:46:17
1
Mandingo tz :
wakati up dunia una neema ambaz mwenyezimung kakujaalia hivy ikifika siku ambay aita kufaa wewe mali yak wala cheo Chak wala umaalufu wak ishi ila tambua kila mda, dakik, wala sekunde jua mda hauku subili wew siku yak ya umaut inasogea jua tup kwenye foren jistili izoo neema mungu alizo kuneemesha maumbile hay aje ayaone mumemeo na sio kila m2 mungu akulinde akuongoze katika njia iliy nyook
2026-08-20 19:04:48
17
Shafii Mkawa🦅🦅✌️✌️ :
malengo ni nini kinadada🥺🥺???
2026-08-27 16:52:26
0
juma senga :
beii
2026-08-20 13:45:03
3
Dictator Cyper :
Au mimi ndio niwe Kijora😅😂
2026-08-22 06:25:08
2
Traore moru :
location
2026-08-24 16:36:51
5
Jimboy Kartel :
sasa apo sisi tutaelewaje weka na bei kbc na location yako
2026-08-21 10:40:51
6
Jay Simba 🦁🦁OG :
mkumbuke Kuna kifo pia dunia njia tu h
2026-08-20 07:31:21
5
Mr garden love 😍😍 :
tutajenga kweli🥰🥰
2026-08-22 04:43:14
3
Mo Town :
biashara matangazo tutaongea na mama gwajima kwamba vijana tunaujumiwa uchumi
2026-08-21 06:01:08
3
Goody ndakidemi :
aseeeeeee
2026-08-20 10:11:41
1
Gidion worf :
location
2026-08-22 17:50:51
1
To see more videos from user @amazing.girls80, please go to the Tikwm
homepage.