@mr.smart.tz: Post 13 | Makosa 7 Yanayoharibu Heshima na Thamani Yako Kwenye Mahusiano #SelfWorth #mahusiano #bodylanguage #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokkenya

@Mr smart Tz
@Mr smart Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 17:05:17 GMT
234179
13402
369
770

Music

Download

Comments

user272041940299
B :
tujuane tulio busy kufatilia usafi unao endelea hapo
2026-08-20 06:20:18
564
officialcesy.cesy
Officialcesy Cesy :
niko bize kuwaza nianzeshe biashara yakusafisha mazulia
2026-08-20 04:41:10
64
mrschriskyemo
Mrs Chris kyemo :
Thank you
2026-08-20 15:54:55
0
william.venda
William venda :
u r right
2026-08-20 04:21:05
2
sabrinakagangatz
PASTOR SABRINA KGANGAJAVED🇹🇿 :
thank you very much
2026-08-20 16:47:51
0
smart.boy53819
SMART BOY 🇹🇿🇹🇿 :
good story
2026-08-20 05:27:54
0
lyra72318
Lyra 🫧💕 :
sasa nisipo mjibu kwa wakati anasema Nina dharau, bhn msinichanganye mm
2026-08-20 08:43:09
29
madamzeynab1
official zai baby girl🥰 :
mm ndomana niliachwaaa kwasababu 😅nilikuwa kila kituu namwambiy😂
2026-08-20 05:37:45
20
dotto.paul24
Dotto Paul :
ahsante sister
2026-08-20 13:34:59
0
iamluu63
Fasher’s boutique 💃 :
Mm naenda bhn mda huo huo atajua mwenyw 😂
2026-08-20 11:30:18
26
lennie0531
Liyah💜 :
ongea haraka haraka bhn
2026-08-20 04:04:46
24
frahasungi
furaha sahaya :
iyo daw ya kapeti na pata wp alafu ulikua unaongelea nn😁😁😁
2026-08-20 12:40:18
6
rose.fortunatus
Rose Fortunatus :
Huwez amini sijasikia chochote alichoongea uyo dada mpaka nimerudia tena kusikiliza nilifocus na huyo anae safiisha
2026-08-20 13:36:34
15
nanalovej4
nanalove j :
shamani yangu inaanza na mimi
2026-08-20 08:38:57
10
azizajumaahmady
Azra de rommy💕 :
tukio Bize na usafi tujuane🤣
2026-08-20 10:47:56
13
hasanihamisi600
Haccer son🔥🔥 :
thank you
2026-08-20 04:47:46
1
tumaini.sumal3
Tumaini sumal :
bei gani kufua
2026-08-19 22:56:40
8
mautamu870
wakushaini 🙅🙅 :
thamani yangu inaanza na mimi
2026-08-19 23:45:20
13
irenekimea7
Irene Kimea🌺 :
kabisaa kipenzi 💗
2026-08-20 03:31:43
6
agnesschacha581
🥀giannamomy🥰🦋 :
thaman yng inaanz na me
2026-08-20 03:49:13
8
batuli.shaaban
May born😊. :
Thamani yanyu inanza na mimi.
2026-08-20 06:00:38
16
user4384272571657
Munirah Ally :
thamani yangu inaanza na mimi
2026-08-20 15:21:39
2
jey_low93
Jey Low :
asnte kwa point
2026-08-20 12:12:17
3
rachelcakes2021
rachelcakes2021-singida :
Niko busy kuangalia usafi😁
2026-08-20 16:17:05
1
salma.tz28
S🦋A🦋L🦋M🦋A🦋💞💞 :
samani yangu inaanza na mimi
2026-08-20 10:09:38
2
To see more videos from user @mr.smart.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About