@jogooiron.designer: tyunatengeneza 🔥 KIBANDA CHA KISASA, KILICHOTENGENEZWA KWA MAHITAJI YAKO! 🏗️ Tunatengeneza vibanda vya biashara vyenye: ✅ Frame imara ya square pipe ✅ Muundo wa kisasa na wa kuvutia ✅ Vipimo kulingana na eneo lako ✅ Paa imara dhidi ya jua na mvua ✅ Madirisha na milango salama ✅ Kaunta nzuri ya kuhudumia wateja ✅ Uingizaji hewa mzuri ✅ Umeme na taa za ndani 💡 ✅ Nafasi kubwa ya kuweka logo na branding ✅ Rafu za kuonyesha bidhaa ✅ Rahisi kusafisha na kutunza ✅ Imetengenezwa kwa uimara wa muda mrefu Inafaa kwa duka, chipsi, chakula, juice bar, coffee shop, takeaway, M-Pesa/Tigo Pesa na biashara nyingine nyingi. 🔥 📐 Unachagua design na vipimo — sisi tunatengeneza. 📞 0612 324 200 📍 Ubungo Kibo UBUNIFU • UTENGENEZAJI • UKAMILISHAJI • #fruitjuice #bongo #zanzibar #DarEsSalaam #tanzaniantiktok
JOGOO IRON DESIGNER
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 17:10:31 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @jogooiron.designer, please go to the Tikwm
homepage.