nina mia ,lakini pia hesabu sjui,,inshort give me the all 1 million 😂😂
2026-08-19 18:44:41
4
M&O❤️✅ :
Yote 2 Jamn
2026-08-19 18:38:27
1
SANTOS🍁 :
990,000/= hakiii na ckuli naacha wakuuu😂😂🙌
2026-08-20 10:35:52
2
SEBASTIAN MACHELE :
Niongezee Laki 9 na SHILINGI Elfu Tisini na Tisa na miatisa.. Yaani apa na SHILINGI 50 Tu..!!!🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 14:58:17
4
Frank :
999,992 sent mbili hiyo ipo kwenye account🥱🥱
2026-08-19 17:39:00
5
MAVELEI 10JR :
yote tu ili nilipe maden nibaki na amani
2026-08-19 20:36:36
3
Pinga@boy ☠ :
Ukiongeza 1M apo uwakika
2026-08-20 12:04:36
3
nelly :
9999999
2026-08-19 18:27:29
1
❤️g❤️💯 :
laki 4
2026-08-19 17:58:43
1
benjamin :
100,000
2026-08-19 17:34:55
1
TORNADO 👣2️⃣5️⃣ :
me niongezen hio hio million moja maana ndio ya kuongezea🙌🏾🙌🏾🙌🏾
2026-08-19 17:35:24
1
ℂ𝕒𝕝𝕧𝕚𝕟..𝕓 :
Kumbe kweli like zimebadilika rangi jamn😅😅😅😅😅
2026-08-22 10:54:26
3
FASASE green neture 🥦🌲☘️ :
kumbe nina hela na hamsemi
2026-08-19 19:56:39
1
Lameck🔥🔥🔥 :
Hapa sina jibu kamili kuna kazi nimefanya sijui nalipwa shingapi
2026-08-20 11:26:46
2
joshua 151 :
nipeni million 1 nalaki 7 hapo kwa ajili ya makato na ela nayo daiwa kwa songesha
2026-08-20 10:20:40
1
mr amil amidu :
siitaj adi mia maana nipo vizul vibaya mno
2026-08-20 15:20:33
1
saleem :
@saleem:Zamani nilijua mtu akiwa na miaka 22 ni mkubwa na anapaswa awe na pesa nyingi na ndoa ila sasa nina 26 nipo kama mbuzi aliyepotea 🥲🙌jmni mnishauri😂🥺🥺🥺nifanyje
2026-08-20 13:37:56
3
palexy creator :
may be niongezewe 1.5M maan nadaiwa laki5🫣
2026-08-20 09:31:07
4
Edix wizzy✨️ :
hap kam Lak9 elfu 98 tu😂
2026-08-20 08:13:31
1
Rohan moses :
yakutolea tuuu maana ipi kwa simu 🤣🤣
2026-08-20 14:27:02
1
phirrrr :
milion moja na laki tano maana nina den la laki tano
2026-08-19 19:18:19
4
To see more videos from user @cues_comed, please go to the Tikwm
homepage.