@ matakoi. £****£ :
::Sai kuna mtu ameachwa mahali, mwingine ako jobless, mwingine ako kazi na haipendi,mwingine amekufa ajaona leo, mwingine analala njaa, mwingine ametravel majuu, mwingine ameget married, mwingine amepata dream job, mwingine amegraduate, mwingine amepata accident ako hosi, mwingine akona cancer/hiv, mwingine anakunywa wine diani, mwingine amebuy his first car, wewe uko wapi?? 🥺
2026-08-22 18:05:26