@dunialeo_: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa onyo kwa madereva wa mabasi ya mikoani wanaokiuka maelekezo yaliyotolewa kuhusu utaratibu wa kutumia Stendi ya Mabasi ya Magufuli. Chalamila ametoa onyo hilo leo jijini Dar es Salaam, akisisitiza kuwa madereva na waendeshaji wa mabasi wanapaswa kufuata maelekezo yaliyowekwa na Serikali kwa ajili ya kuhakikisha usafiri wa mabasi ya mikoani unafanyika kwa utaratibu. Amesema hatasita kuchukua hatua za kisheria dhidi ya madereva ambao watakaidi maelekezo hayo, akieleza kuwa wanaokiuka utaratibu wanaweza kufikishwa mahakamani.#dunialeoUPDATES

DuniaLeo
DuniaLeo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 17:59:11 GMT
110970
3586
123
106

Music

Download

Comments

philipobey
philipo-bey :
MKUUU NAOMBAA UTARATIBUU ULUDII TENAA KAMA DHAMANI MAANA WATU WA HALI YA CHINI NA WANAFUNZI TUNA PATA TABU KUFIKAA NYUMBANI
2026-08-20 13:57:21
1
leylaleonard254
Leyla :
MbNa Tilisho Daaah
2026-08-20 07:47:43
2
ernestmndeme1
AFSA USAFIRISHAJI DOM TOWN :
leo kidog niingize roli apo kumb ni mabasi tu
2026-08-20 10:12:40
10
sauli.mwakyusa
Sauli Mwakyusa :
hiyo kauli ya familia itakusahau angekua ameongea mtu mwingine tayar ingekua uhaini
2026-08-20 11:55:57
17
la.mama08
Aunt Maggie :
We baba Mbn huna huruma jamani mbezi mbali mnooooo
2026-08-20 10:40:51
15
humudymwalimu
humudymwalimu :
Mbona Abood bus zipo magomeni
2026-08-20 09:06:50
6
lucystephano777
Lucy M :
yani mume wangu usimusikilize Chalamila usije kufukuzwa kazi si tulale njaa bure msikilize bos maana ndiye aliye kupa gari
2026-08-20 11:50:59
9
hendrixues
HENDRIX_55 :
wa Mbagala Mbande kwa hili tujuane tu
2026-08-20 17:57:25
3
user44055261761282
james :
Sawa kabisa Shelia ifwate,hata kama unapesa fwata Shelia.
2026-08-20 05:36:03
5
mwombeki77
Mwombeki :
Kwani kufunga pingu ndo shida?
2026-08-19 20:05:07
6
corzacane.senders
corzacane senders 👟🥿🩴 :
wafanya biashala stand ya magufuli munafurahia
2026-08-20 08:38:17
3
abillah643
Abillah :
Serikali kuu ingilie kati haya mambo ya mtu mmoja kujiamulia mambo sababu watakaoumia ni rai wa chini
2026-08-20 09:07:46
4
ngowijr679
Ngowi Jr :
familia yangu mpo tayari kunisahau au mnasemaje
2026-08-20 09:37:15
1
prosperminja148
Theverybigshop :
Secta binafsi 70% utekelezaji Dira2050. Dola trilioni 1 ya Dira2050 tutaisikia tu kwenye redio....
2026-08-20 06:13:24
2
arinu26
official arinu baby :
jamani ukitaka kusafir adi stend ya magufuli kweliii tulionahali duni tutakomaaaa
2026-08-20 04:43:29
2
simbacaterpillar_9_26
𝕤𝕚𝕞𝕓𝕒 𝕔𝕒𝕥 :
Akiniachisha kazi TAJIRI Mweshimiwa nitaishi vp Sasa tuangalie Naupande wapili ambao ndio unanieshimisha kweny family
2026-08-20 09:28:10
1
shadrack.manumba
Shadrack Manumba :
sema hii ni faida kwa bod boda na bajaji daladala
2026-08-20 12:16:56
1
user5237206261872
Ibrahim Ally :
Safar hiii Madereva kaz tunayo cjui tumsikilize Boss anayetulipa mshahara au Mkuunwa Mkoa kaz tunayo safar
2026-08-20 20:10:58
0
familia3339
Familia :
Magufuli oyee.Haya ndio mambo yanayotakiwa
2026-08-20 07:54:02
3
boniphaceludovick2
Boniphace Ludovick :
safi sana mku wamkoa kazinzur
2026-08-20 05:06:45
1
user6834693472253
user6834693472253 :
watutatulie folen za daa hizo
2026-08-21 06:45:00
0
abelly.mtega
Abelly Mtega :
Hivi vyeo vya kupewa vinakua na shida gani eti
2026-08-21 06:13:33
0
mahseinhabib
mahseinhabib :
MABASI YANAGOMA NDIO DAWA
2026-08-21 04:32:36
0
user5841333328379
Eva :
uko sahihi
2026-08-21 04:21:33
0
mjassimjassi8
Mjassi_captan :
movie
2026-08-20 02:37:22
0
To see more videos from user @dunialeo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Polda Metro Jaya Ungkap Update 21 Orang yang Ditangkap Jelang Aksi BEM UI di Sudirman Polda Metro Jaya mengamankan 21 orang menjelang aksi unjuk rasa Badan Eksekutif Mahasiswa (BEM) Universitas Indonesia (UI) di Jalan Jenderal Sudirman, Jakarta, Selasa (18/8/2026). Dari pengamanan tersebut, polisi menemukan 12 petasan atau flare dan enam botol yang diduga dipersiapkan untuk pembuatan bom molotov. Kepala Bidang Hubungan Masyarakat Polda Metro Jaya Kombes Pol. Budi Hermanto mengatakan, 21 orang tersebut masih menjalani pemeriksaan untuk didalami keterangannya di Direktorat Reserse Kriminal Umum (Ditreskrimum) Polda Metro Jaya.
Polda Metro Jaya Ungkap Update 21 Orang yang Ditangkap Jelang Aksi BEM UI di Sudirman Polda Metro Jaya mengamankan 21 orang menjelang aksi unjuk rasa Badan Eksekutif Mahasiswa (BEM) Universitas Indonesia (UI) di Jalan Jenderal Sudirman, Jakarta, Selasa (18/8/2026). Dari pengamanan tersebut, polisi menemukan 12 petasan atau flare dan enam botol yang diduga dipersiapkan untuk pembuatan bom molotov. Kepala Bidang Hubungan Masyarakat Polda Metro Jaya Kombes Pol. Budi Hermanto mengatakan, 21 orang tersebut masih menjalani pemeriksaan untuk didalami keterangannya di Direktorat Reserse Kriminal Umum (Ditreskrimum) Polda Metro Jaya. "Ini masih didalami. Karena tadi malam dan tadi pagi ada 21 orang diamankan, ada 12 petasan/flare, dan 6 media botol yang akan digunakan untuk pembuatan molotov. Ini masih dalam proses pendalaman," kata Budi, Selasa (18/8/2026). Budi menjelaskan, langkah pengamanan tersebut merupakan bagian dari pendekatan preventive strike dan preemptive education yang dilakukan Polda Metro Jaya. Menurut dia, upaya kepolisian tidak hanya berorientasi pada penegakan hukum, tetapi juga pencegahan agar masyarakat memahami risiko membawa benda berbahaya. "Intinya, preventive strike Polda Metro Jaya dan preemptive education selalu berjalan. Masyarakat bukan hanya terkait tentang penegakan hukum, itu ultimum remedium," ujarnya. Dia menambahkan, membawa barang-barang berbahaya dapat membahayakan diri sendiri, peserta aksi lainnya, petugas, maupun masyarakat di sekitar lokasi. Asahat Edi/PRMN

About