@mwamiho_tv: @mwamihotv_ Ni hisia za mwananchi walio jitokeza katika msiba wa kijana alifariki dunia siku ya jana kwa ajali kijana huyo anayefahamika kwa jina la @Shady mseven Wananchi hao walishindwa kuendelea na taratibu za msiba wakidai kwamba wazee wa eneo hilo ndio sababu ya vifo vya vijana katika eneo hilo kwa hiyo waliwataka wazee ndio waendeleze shughuli zote za msiba.
MWAMIHO_TV
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 18:01:12 GMT
Music
Download
Comments
FRANCIS IBRAHIM MSOKILE :
Why igawa kila siku 😔😔
2026-08-19 19:35:48
6
habiba :
kweli kabisa mama yetu kaongea ukweli kabisa hd nimelia kila siku sisi hd tunaogopa yaan😭😭😭😭
2026-08-20 10:07:18
7
kuhan joshua hk :
poleni sana ,ni wapi hapo
2026-08-20 12:33:42
2
weda ndunda @WDZAINI17 :
mama ameongea vizuri asikilizwe kwa umakini ameongea kwa uchungu wa kubeba na kulea ujauzito kuulea kwamiezi tisa
2026-08-20 12:19:12
8
shaa :
Mwe jamani poleni
2026-08-19 20:17:52
2
Vee🌹 :
Igawa ipo wapi jamani
2026-08-21 08:30:42
3
aliagwimile :
inaumiza san
2026-08-19 18:04:03
2
Mary :
ubaruku
2026-08-21 20:39:41
1
MG❤️ :
kweli kabisa inaumiza sana
2026-08-19 19:41:15
3
star boy gand@@ :
sahii👍🙏
2026-08-22 07:31:11
1
josephine chota😭😭😭😭 :
namkumbuka kakaangu baraka jamni nikiona ajali tu machozi yananitoka tuu😭😭💔 nipo nyuma yenu vijana wenzangu kifo kisikie pumziken kwa amani titakutanaa
2026-08-21 10:31:44
2
James ndondole ndondole :
ni kuokoka tu"
2026-08-21 18:39:08
1
Zaituni Daudy :
hata nipewe uwanja Bure sitaki
2026-08-20 21:10:12
1
Helena Makole :
mama kaongea point
2026-08-21 14:48:06
1
jotham 813 :
poleni sanaaa majilani zetu maana tunakumbka vijana wetu wa ubaruku😭
2026-08-20 04:28:37
5
Anastasia gelvas simiti :
ama kweli inaumiza
2026-08-20 19:13:16
1
Sheby Mtwigu :
nilikaà igàwa kama miez 8 hv kilicho nitisha Kila wiki msiba na waliokuwa wanakufa wahamia 2 dah cy poah wakuu
2026-08-21 04:35:09
2
zaga xtar 🌟 :
nomaa 😭😭
2026-08-20 12:56:49
1
ms arry :
inaumizaaa sanaaa vijanaa tunaishaa kwa kwel
2026-08-19 18:07:30
4
___NANAHOLIC___🥂❤️🦋 :
Leo mshikaji anaingia kweny hedline 💔🥹🕊️
2026-08-19 21:53:48
2
@Officialvance jr :
dat's so painful😭😭💔
2026-08-20 12:16:54
2
VUMILIA MNENWA :
jmn dada angu uyoooo
2026-08-19 20:03:15
2
M@SCOT💫...🇹🇿 :
kweli aloooh mbaka kieleweke
2026-08-19 19:00:06
2
@halima miho💦✨️ :
pambananeni Hadi muwapate
2026-08-19 18:41:32
2
vee girl ❤️🔥💕 :
duu shadi aisee
2026-08-20 09:41:59
1
To see more videos from user @mwamiho_tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.