@shauryapdates: 😂😂

ShauryHance Tv⛎
ShauryHance Tv⛎
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 18:09:45 GMT
107468
5094
36
72

Music

Download

Comments

kgm0044
@Subject 01💦 :
simba fans like hapa 🔥🔥❤️❤️
2026-08-19 18:55:03
28
mo.amaan.i
mo.amaan.i :
sio dalili ya ubingwa, ni dalili ya udhaifu wa ligi yetu. Simba na Yanga ukiziangalia uchezaji wake na makosa wanayoyafanya na hawadhibiwi na wapinzani wanaocheza nao unapata picha kuwa tuna ligi dhaifu sana
2026-08-19 19:34:34
7
shika_mathias
Shika_Mathias :
Oscar anatetea tim yake
2026-08-20 05:18:07
5
frank.guntram
Frank guntram :
simba wana zingua sana wachezaj wetu hawa lalamik kwa nn
2026-08-20 02:22:25
1
aminawhite27
aminawhite :
kwel kabisa wametumwa
2026-08-19 23:03:51
2
stuwart.kusiga
Stuwart Kusiga :
kabisa🤣
2026-08-19 19:37:01
4
otgenesis226
limonga :
2026-08-20 12:46:42
0
edwardadam
Edward Adam :
kweli pamba walideka
2026-08-20 16:07:37
0
user2148328297606
shoo :
wametumwa kwelii
2026-08-19 22:15:58
1
elifuraha.yohana
migoss :
lakini tuonewa
2026-08-20 08:13:07
0
salmasaidi057
salmasaidi057 :
apo kutumwa nikweli
2026-08-20 06:40:59
0
cousin_wa_kenya
COUSIN_WA_KENYA :
na kwa mtindoo huuu nawaambia yanga uhuni wake haɓebi kombe tenaaa na azam bingwa msimu huu
2026-08-20 13:31:39
0
mauzo456
mauzo :
kocha au refa akaangalie embu mnieleweshe vizuri
2026-08-20 13:43:40
0
whitelibrary_
Whitelibrary :
GOLI LA KUPEWA LA CHAMA
2026-08-19 21:18:20
1
ally_nyota_graphics
Ally_Nyota Decorations ✨ :
vipi teke la shaulile wa yanga🤣🤣🤣
2026-08-19 19:12:07
2
pascalntunda
pascalntunda :
Tunapoteza mda saaana. hata kona tu tunaenda kuangalia VA's
2026-08-19 21:01:03
0
user3357159817512amza06
amza Yosam :
imekuja kukomoa simbatu haisaidi chochote mbona ngao ya jamii lefa hakufunika penati
2026-08-19 18:57:13
4
nassoro849
nassoro :
kama wametumwa wametumwa wale mda wote wanadondoka kumsikilza lefa
2026-08-19 18:57:00
4
am.mh751
Amøűř mőhď :
acheni unafki simba akishind anacheza kibingwa akifungw simba mbovu
2026-08-19 22:34:21
1
mohamedimnyika493
mohamedi mnyika :
na yanga ikifanya vile wakina bacca wata adhibiwa??
2026-08-20 09:56:51
0
aloycevenance
aloycevenance :
xaaan Aisee
2026-08-20 10:24:08
0
mihambo2323
mhojamihambo23 :
hicho ki FVS hakitawaumbua utoporo.. maana umeletewa kuwadidimiza Simba.. ibarahim back aliupiga mpira Kwa makusudi Kwa mkono ambapo hiyo ni red card straight.. lakin hawakuangalia
2026-08-20 04:22:00
0
ayoubkamwela
kazee fulan :
siyo hivyo tu mechi zote mbili tumepewa nyekundu na tumeshinda
2026-08-20 05:26:17
0
user8617729061081
Mdete Geofrey-Makamba-Ipogolo :
penati ya kujitakia, kadi nyekundu ya kujitakia utoto mwingi vitendo vya hasira havikubaliki.
2026-08-20 05:34:49
0
mtoboa26
mtoboa 26 :
hivi nyie wachambuzi wa wasafi nyie ni timu gani mbona kira siku simba
2026-08-20 10:02:51
0
To see more videos from user @shauryapdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About