jmn kujitoa tanzania unabonyeza ngap mm niend............
2026-08-20 08:13:49
11
It’s me🦋❤️ :
Ss umeuliza Habar yangu Ila hujauliza shd yang😂😂😂jamn doctor mwenyewe hajaelewa😂😂😂
2026-08-20 10:19:11
4
YBM :
hii ndo tanzania ya viwango 😂😁
2026-08-20 06:12:45
10
jumamaliga :
hahahaha dah hii mitandao jaman mm
2026-08-20 08:03:32
3
raulenti maduuser5423386027519 :
baliyangu nizuli ila naumwa
2026-08-20 07:55:00
3
lity💫💫 :
inatakiwa useme mbaya😂😂😂😂
2026-08-20 08:51:29
1
Jesca_p21🌹 :
nakumbuka kipindi ni secondary niliend wa second master kuomba anisainie kubali Cha kurud nyumban nilikuwa naumwa akaniuliza habari yako nikasema nzur akanambia Rudi darasan ukasome😂😂😂🤣
2026-08-20 09:03:49
1
❤️baby🫂 Anitha ❤️🥰 :
ko ulitaka aseme mbayaa 🤣🤣🤣
2026-08-20 08:33:05
1
Bwanaharusi_mshairi :
𝑨𝒏𝒐𝒕𝒉𝒆𝒓 𝒐𝒏𝒆🤣🤣🤣
2026-08-20 09:08:55
1
D_O_G_Ø🎋____R_U_T_Y⅘__👀__⁉️ :
duuuh kweli dokta yupo makini na kazi😂😂😅
2026-08-20 10:39:25
0
Tuma Mwinyi :
Kwaiyo ilikua aseme ni mbaya🤣🤣🤣
2026-08-20 10:12:34
7
jay kahama :
naomba msaada nifanyeje kusahau Tanzania maana mi naona kabisa hii nchi bado haijakaa sawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-20 11:15:54
0
Robert Freeman :
doctor walai 😂😂😂😂
2026-08-20 10:20:41
0
renoygirl :
another one 🤣🤣🤣🤣
2026-08-20 11:32:53
0
@iasha8 :
😁😁😁😁😁😁😁Nachoka mm jamani
2026-08-20 11:09:01
0
To see more videos from user @omaryalunilaisi, please go to the Tikwm
homepage.