@heavyweightdullah: Libasse Gueye ni mchezaji hatari na anaendelea kuonyesha namna mchezaji mkubwa anapaswa kufanya, Mpaka sasa ndie kinara wa Assists akiwa na Assists 3 na lakini hata bao la Chama ni mpira uliotoka kwake. Jamaa yuko on fire na leo tulizungumza namna anavyo athiri mechi za Simba

Heavyweight
Heavyweight
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 18:21:37 GMT
35625
3090
65
24

Music

Download

Comments

major.kiddie
Major Kiddie :
Huyu si kuna wakati alisema Libase hakuna kitu?
2026-08-20 04:45:13
23
josephpole359
Jay :
iv ww si ulisema libas ni mchezaji wa kawaida
2026-08-20 02:05:05
16
truevice6
truevice :
Ogopa MUNGU na technology!!!
2026-08-20 04:25:17
8
kichuna085
bibiee085 🤭 :
ipo siku hata dumbia atasifiwa
2026-08-20 07:23:37
6
selemani.chipeta
Selemani Chipeta :
wachezaji wote ni muimu sawa mzee
2026-08-20 05:27:19
2
j.star29
J STAR :
yaaan wachambuzi wa saiv jmn huy sindiy alisema kwamba libase nimchezaji wa kawaida Leo hii Wana Simba tutaendelea kuwashangaza mpak washangae
2026-08-20 08:15:32
4
salkha.salkha.sal
Salkha Salkha salkha :
leo hii mm naona wot tegemez mama kilammoj anafanya kazi sehemu yek
2026-08-20 03:12:15
1
user7304283852286
shebyrajabu :
🤣🤣🤣🤣 bado hujasema
2026-08-20 04:40:27
1
user5868734239007
SAMATTA 10 :
ucseme kuliko oura broo libasse na oura Hawa watu hawatakiwi kukosa game yyt
2026-08-20 13:04:05
0
user4062061837521
ramso382 :
saf sana mchambuzi wangu wazee wa kicheko kama kawaida
2026-08-19 20:50:53
1
yusufumarwa915
mr marwa :
ivi kwann kocha Huwa anamueka bench na kumbakiza ancet na chama
2026-08-20 12:32:49
0
simbaklusabi543
mu's papa lusabi543 :
😂😂🤣 lakini si ndio huyu ambae ulisema afai kuchezea simba sababu sio mzuri kwenye v1
2026-08-21 14:11:51
0
salimrashid917
Salim Rashid :
uy jamaa sjawai kumuelew atakidg
2026-08-20 12:31:28
0
ramadan.amour
Ramadan Amour :
uliposema wakawaida ilikuwaje
2026-08-20 12:36:54
0
kornelkornel3581gade
nelii :
kweli ni huyu huyu
2026-08-21 19:37:02
0
jovie.michelle7
jovie michelle :
Mimi yanga ila kaongea ukwel
2026-08-20 05:18:23
0
zainabahamad781
💞zaynab🥰 :
wachambuzi mdaa mwingine wanakuaha kama wanalewa
2026-08-21 05:13:33
0
allyhamad400
allyhamad400 :
sawa kabisa dogo
2026-08-20 13:52:27
0
cutenunu19
nunu :
Ulisha muombaga msamaha libasse?
2026-08-20 09:38:48
0
user7617845487024abeli
official bad 🎤👑🎙 :
wanangu uyu sindoalimkataa
2026-08-20 08:33:59
0
alex.kaugala
Alex Kaugala :
kaka unajua kuchambua mpira
2026-08-21 17:28:05
0
benny.electronic
Benny electronic :
nikweli
2026-08-20 11:42:55
0
michael.focuss
michael focuss :
msigawe timu yetu
2026-08-20 10:15:08
0
wakupoa4575
@wakupoa🦁🦁 :
sahihi
2026-08-20 10:58:32
0
shaibobu01
[email protected]💥🇿🇦🎒🌹 :
tunaomkubali libasse gonga like apa 👍
2026-08-20 06:06:47
0
To see more videos from user @heavyweightdullah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About