@ghazal.tv1: FADHILA ZA KUWASAIDIA WATU — USIDHARAU WEMA MDOGO Kumsaidia mtu mwenye uhitaji ni miongoni mwa matendo yenye fadhila kubwa. Wema unaoufanya leo unaweza kuwa sababu ya kupata baraka, rehema na malipo mema kutoka kwa Allah. 🤲🏽❤️ Usisubiri uwe na vingi ili uwasaidie wengine; hata kidogo ulicho nacho, ukitoa kwa nia njema, kina thamani kubwa mbele ya Allah. 🎙️ SHEIKH SAID BAFANA #GhazalOnlineTV #SheikhSaidBafana #IslamicReminder #FadhilaZaKuwasaidiaWatu #Wema Sadaka Uislamu MafundishoYaKiislamu Waislamu GhazalOnlineTVWemaUnaodumu