@rammarush0: ukiAdvice mCoast aachane na mpenzi wake😂😂😂 #fyp #fypp #rammarush✨ #rammarush

RAMMARUSH ✨
RAMMARUSH ✨
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 19 August 2026 18:44:47 GMT
264788
33738
116
1114

Music

Download

Comments

mjomba060
Mjomba 👑 2 :
Wacha upuzi bwana kwani unaheal kwangu jameni 😁😁😁
2026-08-20 14:50:09
30
user4692582399353
Royal's emphassy 👑👑💯💯 :
eerh no comeback
2026-09-01 19:06:43
12
kingking888881
Kingking888881 :
Ni content lakini sa mwanaume unakuaje na matusi..?I usually find it awkward..ama niko zangu😁
2026-09-24 11:12:22
16
user4917820717251
user4917820717251 :
hadi nimevaa earphones ili majirani wasiskie
2026-09-23 17:12:17
20
rakimke1
Rakim_Ke :
nyege za msumbua😂😂😂
2026-08-20 15:00:47
11
234jm7
Jm234 :
cwezi heal after that😅😅😅😅😅
2026-09-24 13:32:24
3
eug1197
Eug11 :
maiti alikuwa amechill then boom😅
2026-09-25 19:08:04
3
prettyessie21
your's loving :
hizo advice ajieke
2026-08-19 19:01:22
3
mercykamanthe997
💢💢Baby gal 💘💘💘 :
ukweli hapo hakuna kuheal
2026-09-25 12:18:07
2
user273999042
Essymungash wangash lastie 🥰 :
ni mbaya 😂😂😂
2026-09-24 17:55:15
2
kaldrogo4590
kaldrogo :
rammaa unanijengeanga sna 😅😅
2026-08-20 16:55:14
3
abu.hussein48
AbuHussein😃 :
broo hiyo nyimbo yenye imeanza inaitwaje please😀😀
2026-09-09 06:52:01
3
levin.mwas
levin mwas(Ngere) :
2026-09-27 08:58:39
3
chikujuniar
moses vandame :
😅😅😅😅
2026-09-18 17:04:43
2
user4994050020458
Ale-key@dhelion :
ukweli
2026-09-24 11:59:15
2
onlykings83
气AB๛MASTERد :
2026-09-26 13:09:28
1
larrycharles26
Larry 🇰🇪Charles ✨👑 :
2026-09-26 12:07:06
1
r3ro7no
Dickson rono :
ni mbaya
2026-09-24 07:44:42
2
hon_joshuu
Hot_grabber😉❤️ :
unaamua kuambia mtu ukweli😂
2026-09-25 11:36:57
4
cineexplorermind
HarmonyExplorer :
eeenhheee 😂😂 yaaani ametumia msemo,
2026-09-25 19:03:59
2
user91810082269204
Gifty kim :
weee mwanangu vipi yakuaje haswa
2026-08-20 05:34:42
3
lizzy17856
Ugandan ghurl :
Mwambie hiyo advice ajiwekee😂😂😂😂😂😂
2026-08-19 19:14:39
4
cj._.dante
ASALI YA WADADA😍 :
aloo alooo
2026-09-04 08:47:07
1
the.bimmer.m4
THE BIMMER 🏎️🚘🏎️ :
Ni mbayaa 😂😂😂
2026-08-20 08:25:49
1
silvaramazimbi
SILVAR AMAZIMBI KE 23 @ mziza :
tko wote mara ya kwanza
2026-08-29 07:09:26
1
To see more videos from user @rammarush0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

🚨 UNAPATA CHOO KIGUMU NA KUPATA SHIDA WAKATI WA KUJISAIDIA? USIPUUZE ISHARA HII! 🚨 ⚠️ Unakaa chooni kwa muda mrefu bila mafanikio? Unasukuma kwa nguvu hadi unaumia? Huenda unakabiliwa na tatizo la choo kigumu (constipation). Afya ya mfumo wa chakula ni muhimu! Hebu tujifunze maana yake, dalili, madhara na hatua za kuchukua. 👇 1️⃣ MAANA YA CHOO KIGUMU Choo kigumu ni hali inayofanya mtu kupata haja kubwa kwa shida, kinyesi kuwa kigumu au kwenda chooni mara chache kuliko kawaida. Sababu zinazoweza kuchangia ni: 🥗 Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi chache. 💧 Kutokunywa maji ya kutosha. 🏃 Kutofanya mazoezi au kutembea mara kwa mara. 🚽 Kuzuia haja kubwa unapohisi kwenda chooni. 💊 Matumizi ya baadhi ya dawa au changamoto nyingine za kiafya. 2️⃣ DALILI 5 ZA CHOO KIGUMU ⚠️ Kupata haja kubwa chini ya mara tatu kwa wiki. ⚠️ Kinyesi kuwa kigumu, kikavu au chenye vipande vidogo. ⚠️ Kusukuma kwa nguvu wakati wa kujisaidia. ⚠️ Kuhisi tumbo kujaa, kuvimba au kuwa na gesi. ⚠️ Kuhisi kama bado kuna kinyesi hata baada ya kutoka chooni. 3️⃣ MADHARA 5 YANAYOWEZA KUTOKEA ❗ Bawasiri kutokana na kusukuma kwa nguvu mara kwa mara. ❗ Michubuko au mipasuko midogo kwenye njia ya haja kubwa. ❗ Maumivu na usumbufu wa tumbo. ❗ Kinyesi kukwama na kuwa kigumu zaidi kutoka. ❗ Kupungua kwa ubora wa maisha kutokana na maumivu na usumbufu wa mara kwa mara. 4️⃣ SULUHISHO: HATUA 5 ZA KUSAIDIA KUPUNGUZA CHOO KIGUMU ✅ 1. Kunywa maji ya kutosha: Kunywa maji mara kwa mara kulingana na mahitaji ya mwili wako, isipokuwa umeelekezwa na daktari kupunguza maji. ✅ 2. Ongeza vyakula vyenye nyuzinyuzi: Kula papai, mapera, machungwa, mboga za majani, maharage na nafaka zisizokobolewa. Ongeza nyuzinyuzi taratibu. ✅ 3. Fanya mazoezi: Kutembea kwa dakika 20–30, kulingana na uwezo wako, kunaweza kusaidia utendaji wa utumbo. ✅ 4. Usizuie haja kubwa: Unapohisi haja, nenda chooni. Unaweza kuweka kigoda kidogo chini ya miguu ili kurahisisha kujisaidia. ✅ 5. Tafuta ushauri wa kitaalamu: Ikiwa tatizo linaendelea, zungumza na mtaalamu wa afya kuhusu chanzo na tiba inayofaa. Usitumie dawa za kusafisha tumbo au mitishamba kiholela. 🚨 MUHIMU: Ikiwa una maumivu makali ya tumbo, tumbo limevimba sana, unatapika au huwezi kutoa choo wala gesi, tafuta huduma ya afya ya haraka. 📲 : USIKAEE NA TATIZO KIMYA KIMYA! Je, unasumbuliwa na choo kigumu, kusukuma kwa nguvu au tumbo kujaa gesi mara kwa mara? 💬 Wasiliana nami kwa ushauri na mwongozo wa hatua zinazofaa kulingana na changamoto yako. 📞 Piga simu au WhatsApp: +255 792 078 806 👉 Tuma ujumbe wenye neno “CHO0” ili tuanze mazungumzo kuhusu changamoto yako. (Andika CHOO kwa herufi zote.) ❤️ Utajiri wa kwanza ni Afya Yako Mwenyewe. 📌 #ChooKigumu #AfyaYaTumbo #MmengEnyoWaChakula #AfyaBora #UshauriWaAfya

About