@fundiumemedesign: Switch Box za Jikoni ⚡️ Kazi safi inaanzia kwenye maandalizi sahihi! Leo tumefanya boss/boxing za switch sehemu ya jikoni, kwa kuzingatia mpangilio mzuri wa matumizi na muonekano wa mwisho wa nyumba. Jikoni kuna vifaa vingi vya umeme, hivyo ni muhimu kupanga switch na points zake vizuri tangu hatua za mwanzo ili kupata usalama, urahisi wa matumizi na finishing nzuri. 🔌🏠 👷‍♂️ Fundi Umeme Design — Tunapanga umeme kwa usahihi kabla ya finishing. #FundiUmemeDesign #ElectricalInstallation #KitchenElectrical #SwitchBox #Wiring

Fundi_Umeme_Design
Fundi_Umeme_Design
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 18:58:59 GMT
7802
484
4
10

Music

Download

Comments

user1367930799240
ChRiStOpHeR@5 :
Great work
2026-08-19 19:26:22
1
big_thinker1
BiN__SaDiQuE :
supa
2026-08-26 15:31:42
0
erickmahumbi530
Mahumbi 👨‍🔧👩‍🔧🧑‍🔧💡💡 :
kazi nzuri
2026-08-25 19:06:24
0
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-19 19:36:14
1
To see more videos from user @fundiumemedesign, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About