@gospelhub11: Mtetee kwa Gharam Yoyote #creatorsearchinsights #happysabbathwishes #prdavidmmbaga #sdatiktokers #AdventistGospel @MAHUBIRI TV @Sda Together @Sda Tanzania
forgive sinners and instruct them the right way n right paths to follow
2026-08-20 10:25:13
1
Alice Jy :
sioni nikitetewa
2026-08-20 07:36:40
4
Bock Philipo :
Siwez kutetea mambo ya hovyo lazma kosa lisemwe kusudi atake radhi .
2026-08-20 06:50:48
6
user5380614417398 :
sema huyo mke atakuheshimu sana😃 na utapendwa
2026-08-20 05:34:35
17
MADAM G :
mi nilikoseya mbele ya dada yake amna rangi niliacha ona
2026-08-20 15:05:43
7
Papy yaleya :
kweli mtupu
2026-08-20 15:45:19
2
Joyce Samwel :
🙏🙏 Mchungaji barikiwa sanaaa
2026-08-20 15:15:45
2
user9433973461685 :
mme wangu anamtetea mchepuko sana kuliko mke
2026-08-20 13:56:05
4
Dr.Angel Losai :
tusemee baba angu🥳🥳
2026-08-20 07:29:29
5
jacline :
mi atanitetea Yesu mume sitaki
2026-08-19 19:35:05
4
kyelfanu :
tunajiteteaga wenyewe
2026-08-20 10:09:10
4
mom RI 💕 bites :
mmmhh
2026-08-20 14:37:07
1
Fx Jesus :
Uko sawa kabisa Pastor ila swali langu kwanini wamama wengi hawafanyi ivo kwa baba zetu 😎
2026-08-20 19:53:43
1
Esther Ondara :
wanaume wengi huwa wanaegemea upande wakwao
2026-08-20 08:00:11
1
inviolathaalexander :
make hapo kwanza ni👇
2026-08-20 19:41:11
1
Chacha Bin Chacha :
kule chumbani hakusikiiii hata urekebishe vipi, inakuwaje?
2. unamtete mkeo amemwongelesha mama vibaya, je mama yy anahisije wakati wa utetezi wako?
3.Ni vyema kurekebisha kwa upendo na heshima, aliyekosewa yy anatetewa na nani kwa gharama zote? babako huyo.
4. utagombana na baba kwa kosa la kumtetea mkeo na kumdhalilisha mkewe.
mimi nafikiri hivi....
mrekebishe mkeo wote wakisikia ila kwa namna ya upendo na heshima haswa kwa kosa la hadharani.
2026-08-20 08:59:04
1
mom😍&Daughter💋👑 :
🥰🥰huyu ndio wangu kauli yake hiyo hataki kusikia mawifi wananisema me
2026-08-20 19:41:05
0
bintimwaipopo :
Wangu tena ndio anazidi kukufukia
2026-08-20 15:08:00
1
deborah :
amn
2026-08-20 04:36:20
2
Oculy000 :
akinitetea hivyo sidhani hata kama nitakosea tena,
2026-08-20 08:23:01
1
zainabukalinga120 :
uwiiiii Mimi nilisilibwa ukweni na yeye mwenyewe Hadi Leo Sina hamu na kiumbe huyu na Sina mawasiliano na ndg wa mume, ngoja tulee watoto jamani.
2026-08-20 15:40:15
1
Afya ya mwanamke ni utajiri :
Amina mchungaji kwanza mm huwa sipend mke wangu adhalilike mbele ndugu zangu kwanza watakoma
alafu nikitoka tunayamaliza
2026-08-20 07:56:15
3
David. The French Master :
PR. David nimekufollow na mi ni David Leonard nakusalimu sana
2026-08-20 06:28:45
2
Estar chandaruah :
sema ukiwa unafanya hivo utapendwa na mke pasipo kuuelezea mtu huo upendo 🥰
2026-08-20 06:07:18
2
🤓KDM :
Amina
2026-08-19 19:53:37
3
To see more videos from user @gospelhub11, please go to the Tikwm
homepage.