@dr.mifugo_fugakuku: #tanzania🇹🇿 #KilimoNaUfugaji #UfugajiBilaStress #poultryfarming #FugakukuBusinessSolutions

dr.mifugo
dr.mifugo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 19:42:21 GMT
92400
4389
132
457

Music

Download

Comments

mkanse7
mkanse :
natafuta vifaranga wa kuroila
2026-08-20 06:47:53
6
mussasimba2
tin@h :
kuku mzr ni wa kienyeji tu
2026-08-21 10:26:10
8
samwely.ramadhan8
Samwely Ramadhan :
Jaman mm napita tu maana Niko na msiba wa kuku
2026-08-20 21:16:10
5
paulwizy.12
paulwizy 12 :
munipe kaz niwafugie leta mkataba tu
2026-08-20 17:38:29
1
user8831671131135
zephany :
duh sku 30 h😁😁 wala kuku
2026-08-21 16:58:39
0
riana20044
ariana :
boss Hao wa leyas ni sh ngap
2026-08-31 08:49:00
0
thalashi5
mr pooh :
wazazi wa broila wapatikanaji
2026-08-21 20:32:37
1
josephinerwiza
JOJO :
🥰🥰🥰 nice education
2026-08-20 15:36:27
0
calsoon.peter
Calsoon Peter :
mayai ya kuku wa mayai yanatotoleshwa?
2026-08-21 09:39:15
1
tores.katelezu
Tores katelezu katelezu :
vp kuhusu kuku kuchi
2026-08-21 14:38:08
0
ester.saanane2
Ester Saanane :
dada kuku wa Kenya wanaitwaje
2026-08-28 16:57:00
0
dorymimi
%miss dee 2tu :
Nimekuelewa sana Dada mkubwa 🥰🥰🥰
2026-08-22 04:10:10
0
razakkareka
Razak Kareka :
nahitaji mayai
2026-08-20 16:03:37
0
user716847249
user716847249 :
kuku wa kenyegi ndiyo wazuli timepewa na Mwenyezimungu
2026-08-30 03:43:41
0
zemanga.soz
Zemanga Soz :
Asante sanaa maana nimekusikiliza sanaaa😅
2026-08-22 07:30:53
0
asbah410a
Fix :
Asante kwa elimu
2026-08-31 07:21:11
0
sylvainmuhindovagheni
Sylvain Muhindo Vagh :
Vizuri
2026-08-29 12:01:58
0
user4681025968101
user4681025968101 :
Unapatikanawapi?
2026-08-21 06:04:29
0
user35808474303007
Sapna❤️ :
Nashkr sana leo nmepata Elimu nzuri ya kuhusu kuku.. ubarikiwe madam..
2026-08-20 06:43:29
1
paschalsillo
paschalsillo :
hivi kuku wa broiler wanazalishwaje maana sioni wakitaga
2026-08-21 11:29:25
0
farida.fashion42
Farida fashion ✨️ :
napenda kukuona unipe ushauri naomba mawasiliano yako mwanangu
2026-08-20 03:43:55
3
quinnbaron
THE QUINN BARON :
masikini geita kwetu ni vijijini sana😭
2026-08-20 20:38:31
1
user1009920042651
maua mosha :
nimependa san natakankufuga unanisaidiaje dada angu
2026-08-21 13:27:11
0
professorjohntza
Prof. Giussepe M Giovanni :
Unaweza kushare mawasiliano yako mtaalamu?
2026-08-20 14:15:29
0
faidhasaidi15
fasamo17 :
nimependa somo lako mama je unapatikana mkoa gani mamy?
2026-08-20 13:30:54
0
To see more videos from user @dr.mifugo_fugakuku, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About