Mke wangu asaiv ananidharau sana sometimes nakosa ata amani hata niwe kazin
i don't know what to do☹️☹️☹️☹️☹️☹️
2026-08-21 02:54:34
2
augustunus meshach :
Same here
2026-08-21 13:33:12
0
Kibo rm deus :
kwahyo kweny hizo siku za hatar halusiw kukatana na mchepuko wake? kama aliaanza akakutana na mchepuko wake siku hzo za hatar mchana na mimba ikanasa na ucku piaa mume akataka na akapewa
2026-08-20 17:12:34
5
user4603504133781 :
DNA ni pesa ngapi?
2026-08-20 18:48:47
2
nyakwar ochollah :
kuna wengine hugongwa mchana usiku yko kwake
2026-08-20 13:36:44
3
Joseph 1221 :
ZILE MBINU ZOTE AZINA UWAKIKA👏👏 UKIPENDA UKIKISHO SAHIHI NIYAFUTE👏👏👏👏
2026-08-20 11:01:36
3
isack :
Nichunguze hayo yote ili nigundue nn? Ww ukiniambia una mimba yangu nakwambia fresh2 haina noma.
2026-08-21 02:06:09
4
peterkitinga :
mm watoto wa5 lkn hkn chchte kufanana na kila siku sms za wanaume "Sasa nimuacheee" maana sielewi cha kufanya
2026-08-20 22:48:15
1
Maalim❤️☝️💝 :
Kumuachia mungu tu mana dunia ya mwisho hii kila mwanamke anae msingizia mume wake mungu amlipa
2026-08-20 11:33:07
4
Mikidadi Swalehe :
kwenye kufanana apo na damu👍
2026-08-21 06:18:26
2
Dr. Karim :
mengi sio sahihi ni upotoshaji
2026-08-20 07:23:22
2
Paalva 254 :
Bora mtoto akue akijuwa Babake n mm🫵
2026-08-21 06:27:47
1
Mrs Bazirako :
dhaaaaa
2026-08-20 10:05:13
2
Hemedi :
mtoto anachukua group la mzazi yupi kati wawili
2026-08-20 15:50:10
1
marley :
me naskiaga kua ni kawaida mimba kuzidisha siku au kupunguza sikuu ndani ya miezi 9 kuelekea kujifunguaa
2026-08-20 15:06:11
1
Bobb charton :
hapo kwenye blood group uko sawa na bora awe na blood group yako kama baba halisi
2026-08-21 18:28:03
0
Lumumba kenda mumakamba :
jambo yenu !
2026-08-21 12:59:43
0
user4603504133781 :
nikuulize swali madam na unijipu. tulila na mke wangu date 28 na masiku yake ya periods ni date 1 na akanisho amepata mimba , anilicheat ama??
2026-08-20 18:45:38
0
KAYOMBO MTATA :
2026-08-20 20:37:46
0
Gbpjpy slayer (Gj) :
kitoto lazma kifanane namim kikifika miaka mitatu 3 , lkn kama hakifanani namm uyo baaasiii tena sikuambii chochote ila ndoa inavunjika taratibu
2026-08-21 18:06:18
0
augustunus meshach :
Kwa kina ndoa ndyo siendi
2026-08-21 11:26:23
0
Adamsolomonmawira :
Mimi ni tabia ya mtoto na yangu inafanana ama hapana
2026-08-20 20:39:35
0
aloycevenance :
kumbe xw Aisee
2026-08-20 10:30:29
0
To see more videos from user @imani.mwamahonje, please go to the Tikwm
homepage.