@hamasikatv: Kama una ujasiri wa kuiacha simu yako hata hapo sebuleni na ukaisahau hapo na mwenzako akaichukua akaitumia anavyotaka na ukirudi hauna presha wewe mbinguni una kiti chako kwa jina la yesu - Pastor Thomas Bihene #hamasikatv #badilishamchezo
Hamasika Tv
Region: EN
Wednesday 19 August 2026 20:07:04 GMT
Music
Download
Comments
Leader Mwakikuti :
Ameeeeeeeeeeeeeeeeee
2026-08-20 09:04:47
0
miss Dee :
Heeeeee nimeingia wap huku
2026-08-20 08:30:11
0
Doshee Neema :
Shida si kuiwacha ila atakaye itumia ana motive gani, some do crazy things leaving satan in a shock😏
2026-08-20 07:08:36
0
shazie 790 :
mmmmmh🤔
2026-08-20 09:11:08
0
Sarah Chalula :
dear husband huyu🤣
2026-08-20 07:31:59
0
Blandina🥰 :
mh saivi walinalinda sim kuliko roho yakee😂😂😂
2026-08-20 06:49:26
14
Andrew Tuse :
mie kumbe mbinguni niko siti ya mbele 😂😂😂
2026-08-20 05:13:17
30
franceswai733 :
Mbingu ni yangu 🥰ameen
2026-08-20 08:11:04
5
chi💕mami🇹🇿llioni💵 :
Vp motoni viti vipo mchungaji?
2026-08-20 08:29:23
4
Marry mang'ombe :
kumbe kiti ninacho
2026-08-20 07:40:45
4
gigo marshmello 🦅🦇🦉 :
😊😊😊 kumbe mbinguni naweza kaa na malaika Gabriel
2026-08-20 05:28:28
6
ANETH 🩷🎀 :
Ni mume wangu jamn hana presha mpaka nachukia
2026-08-20 08:01:13
3
Rozary Justin :
ni mume wangu huyo anakuacha ufanye unachokitaka
2026-08-20 05:43:12
4
Doreveals :
Kwani Kuna ndoa wapenzi hawakubali simu zao zishikwe???
2026-08-20 07:21:01
2
Momo D❤️ :
kumbe mbinguni na fika bila kupigwa 😂😂
2026-08-20 06:49:42
3
Khadija omary :
dah ni hatari sanaa
2026-08-20 08:20:35
2
silver__spoon0 :
Tushatoka huko kweny kushika sim, saiv tunaota hadi jina😂 na kuuliza tunauliza biashara💯
2026-08-20 05:55:03
6
mary 💝 :
baba mchungaj usimalizie somo maana wengne tunaishi na marehem mtarajiwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-20 08:45:23
1
Rebylove🥰🥰 :
😂😂😂huyu wangu ni Kuni ya jehanamu 😂😂😂
2026-08-20 06:28:02
0
Mama C :
Nimesema Amen kwa sauti walah 😂😂😂😂
2026-08-20 08:12:18
0
joyce :
Nikose tu hicho kiti nitasimama
2026-08-20 07:59:39
1
user6219279793701 :
yangu nampa hata MWEZI asafiri nayo
2026-08-20 07:24:56
0
faithstore :
Kabisa mtumishi🙏
2026-08-20 05:32:14
1
ms❤️🩹🌸.. :
Huishiki hyo simu.. ina password kila mahali🤣🤣 anaanza fingerprint then pin ndo aingie kwenye app husika
2026-08-20 08:26:26
1
dayness💋❤️🔥 :
me nipo tayri wanipe hicho kiti hata leo
2026-08-20 06:56:41
1
To see more videos from user @hamasikatv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.